hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Aibu. 😄Ndiyo maana wanapeleka nyingine
Aibu. 😄Ndiyo maana wanapeleka nyingine
Shida kubwa JF kuna watu wengi wanashikiwa akili na media za Westen.Huu Uzi unapaswa kutunukiwa balloon d'or
Shida kubwa JF kuna watu wengi wanashikiwa akili na media za Westen.
View: https://x.com/jacksonhinklle/status/2030063919696359701?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Iran walisema lakini , Israel ving'ora havitoacha kulia 😄
Hapo wakichunguzwa vizuri hao lazima Kuna watakao kuwa wamejiharishia
Shida kubwa JF kuna watu wengi wanashikiwa akili na media za Westen.
View: https://x.com/jacksonhinklle/status/2030063919696359701?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wanaukumbi.
Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran:
-Tunasubiri uwepo wa majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia Mlango wa bahari wa Hormuz
- Tunawakumbusha Wamarekani juu ya kuchomwa kwa meli ya mafuta ya Amerika Bridgeton mnamo 1987…
================
BREAKING: IRAN CHALLENGES TRUMP ON SHIPS IN ITS strait of Hormuz
Iranian Revolutionary Guard Spokesperson:
-We are waiting for the presence of US forces to escort oil tankers through the Strait of Hormuz
- We remind Americans of the burning of the American oil tanker Bridgeton in 1987
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/2030023125228716088?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Sahihi kabisa they're not Free thinker
kwa nini allah ameshindwa kumkinda gaidi ayatollah asife?Daah tena wana lalamika hiyo genocide ni Kwa Israel means wanaona the way waisrael wanavyo kufa kinyama
Hao jamaa itakuwa walikuwa na plan za kupiga Hela kwenye silaha na mafuta ya Iran so wame mkuta muajemi yupo kamili gado so kina walamba now
Watu hufakwa nini allah ameshindwa kumkinda gaidi ayatollah asife?
View attachment 3554090
Kwa Akili zako unadhani kwamba Kila mtu ni mpuuzi wa ufuasi wa dini kama ulivyo !?kwa nini allah ameshindwa kumkinda gaidi ayatollah asife?
View attachment 3554090
Saivi imekuwa watu hufa tena?Watu hufa
Mpuuzi ni wewe mjinga ambao unaleta matusi badala ya kujibu,kama huna akili nitolee ujinga uliokujaa kwenye kichwa chako kama pumbu.Kwa Akili zako unadhani kwamba Kila mtu ni mpuuzi wa ufuasi wa dini kama ulivyo !?
Mimi na masuala hayo ya Imani Imani wapi na wapi ??