Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 57,035
- 46,479
Wewe kwanini haujafa na utakufa lini?kwa nini allah ameshindwa kumkinda gaidi ayatollah asife?
View attachment 3554090
Hiyo sheria ulisoma wapi Mkuu?Sheria na kanuni za Kiislamu zinataka Muislamu yeyote akifa azikwe haraka sana siku hiyo hiyo au kesho yake ikiwa amekufa jioni sana au usiku. Nasisitiza Muislamu yeyote bila kujali cheo chake, maana Waislamu wote ni sawa mbele za Allah bila kujali vyeo vyao.
Swali ni je ni kwa nini huyu Kiongozi wa juu wa dini nchini Iran hajazikwa hadi leo takribani siku ya tatu toka amekufa wakati Sheria ya dini inataka Muislamu yeyote akifa azikwe haraka sana siku hiyo hiyo na huko huko umauti ulikomfika?
Si viongozi ndio wanatakiwa kuongoza kwa vitendo ili wafuasi na waumini wengine wafuate nyayo zao.
Tena Sheria inasisitiza azikwe haraka sana kule kule umauti ulikomfika sio habari za kuanza kusafirisha maiti.
Ikiwa Sheria ni msumeno mbona hapa msumeno umekuwa butu?
Kwa nini Sheria hii imekiukwa kwa huyu Kiongozi Mkuu wa dini ambaye pia ni Kiongozi wa Iran?
Mwenyekiti wenu nauliza tu nielewesheni polepole kwa upole.
Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti
Amepata inachokitaka kwa US sasa kwenye hizo nchi za middle east hana nguvu baada ya kambi zake zite kulipuliwa, sasa hivi nguvu zote ni kwenye ardhi ya Myahudi na US na nyuma yake Urusi ndio anatoa Intel ,Iran hajipigii.US washaanza kulalamika kwanini Russia anampa Iran Location ya zilipo kambi zake, wanajeshi wake na resources nyingine za kijeshi.Masaa chache baada ya jeshi la israel kutoa ripoti kuwa wamemaliza base za iran zenye silaha na mashambulizi yamepungua
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, katika hotuba yake iliyorushwa kwa televisheni ya taifa (pre-recorded address) tarehe 7 Machi 2026, ametoa nukuu na maelezo kuhusu radhi (apology) kwa nchi jirani (hasa Gulf neighbors) kuhusu mashambulizi ya hivi karibuni ya Iran.
"Kuanzia sasa, hakuna mashambulizi zaidi au kurusha makombora kwa nchi jirani, isipokuwa kama shambulio litatoka kutoka nchi hizo dhidi ya Iran
Ninapaswa kuomba radhi kwa nchi jirani ambazo zilishambuliwa na Iran, kwa niaba yangu mwenyewe."
Je iran imeishiwa nguvu?
Hujui hata kujibu maswali kumbe?Wewe kwanini haujafa na utakufa lini?
utakufa lini?Hujui hata kujibu maswali kumbe?
Una elimu gani au ulisoma madrasa tuu pumbavu?
Mpaka nyie wavaa magauni mkifa kwanza.utakufa lini?
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran:
Tunafahamu hifadhi za silaha za ulinzi wa anga za adui, na katika siku chache kambi za Marekani katika eneo zitakuwa hazina ulinzi dhidi ya makombora na ndege zisizo na rubani za Iran.
View: https://x.com/jacksonhinklle/status/2029848011178705036?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wanaukumbi.
Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran:
-Tunasubiri uwepo wa majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia Mlango wa bahari wa Hormuz
- Tunawakumbusha Wamarekani juu ya kuchomwa kwa meli ya mafuta ya Amerika Bridgeton mnamo 1987…
================
BREAKING: IRAN CHALLENGES TRUMP ON SHIPS IN ITS strait of Hormuz
Iranian Revolutionary Guard Spokesperson:
-We are waiting for the presence of US forces to escort oil tankers through the Strait of Hormuz
- We remind Americans of the burning of the American oil tanker Bridgeton in 1987
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/2030023125228716088?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Baada ya Trump kuwataka Wairani wajisalimishe, umati mkubwa wa watu uliandamana katika mitaa ya Sabzevar, wakipeperusha bendera za Iran na kuimba kuunga mkono nchi yao huku wakilaani vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran.S
Sasa Ritz ndani yumba Walokole matumbo joto!!
Watoto wako wangekuwa kwenye hii orodha usingekuwa unashangilia vifo.
ustaadh Ritz
Kajifungia kwenye handaki nn kimya sanaa
LEO NITAIPIGA IRAN HAIJAWAHI KUTOKEA
"Iran, ambayo inapigwa kuelekea KUZIMU, imeomba radhi na kusalimu amri kwa majirani zake wa Mashariki ya Kati, na imeahidi kuwa haitawapiga risasi tena.
Ahadi hii imetolewa tu kwa sababu ya mashambulizi yasiyokoma ya Marekani na Israeli. Walikuwa wanatafuta kutawala na kuongoza Mashariki ya Kati. Ni mara ya kwanza kwa Iran kupoteza, katika maelfu ya miaka, mbele ya nchi zinazoizunguka za Mashariki ya Kati.
Wamesema, "Asante Rais Trump." Mimi nimesema, "Karibuni!" Iran siyo tena "Mnyanyasaji wa Mashariki ya Kati," badala yake wao ni, "WASHINDIWA WA MASHARIKI YA KATI," na watakuwa hivyo kwa miongo mingi mpaka wasalimu amri au, uwezekano mkubwa zaidi, wasambaratike kabisa! Leo Iran itapigwa kwa nguvu sana! Chini ya uzingatiaji mkubwa wa uharibifu kamili na kifo cha uhakika, kwa sababu ya tabia mbaya ya Iran, ni maeneo na makundi ya watu ambayo hayakuwa yakizingatiwa kulengwa mpaka wakati huu. Asanteni kwa usikivu wenu katika jambo hili! Rais DONALD J. TRUMP."
Ameandika kupitia mtandao wake wa truth social media