Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteLoading…
www.timesofisrael.com
Kulikua kuna wanaisrael hakukuwa na Israel.Unaamini ulichokiandika au umejiandikia tu ili na wewe uwe victim wa kutaka sympathy ya JF?Hivi ni kipi ulianza kukisikia kati ya Izraeli na Palestina kabla haujafikisha umri wa miaka saba?Je,unaamini kwamba Israeli haikuwepo hapo kabla na imeanzishwa miaka hiyo uliyoitaja ya 1948?Amka!
Next time kagua vizuri kabla ujapostMkuuu Venus star asante kwa andiko lako zuli sana jamii yetu inaitaji kuelimishwa kwanjia kama izi lkn lkn umekosea seem iran awatetei waislam bali ni watetezi wa haki wakweli duniani kote bila kujali dini za eneo usika nchi nyingi zimesaidiwa na IRAN kaka Venus star ata Tanzania Africa kwa ujumla Asia America kusini ya kati juzi tu tumeona Venezuela ni Iran ndio alisimama imala kuwaokoa meri kazaa za mafuta watahamu w mafuta kias sasa USA anataka kwenda kuchimba mafuta baada watahamu w Iran kuifufuq sekta ya mafuta taifa la Venezuela ni wakatoriki kama wote America y kusin asilimia kubwa ni wakatoriki lkn Iran kawaekes nguvu kuwasaidia kujikomboa na makucha ya wanyonyaji. So Iran wapo kiukombozi zaid, iman zakwenu wenyewe yeye atakutetea usinyonywe au mwenyewe uchague kunyonywa kama saudi Arabia n wengine.
Walokole WA bongo wanaweka bendera ya Israel kwenye magari yao,povu likiwatoka Israel ni taifa teule la kristo,huku idadi ya waislam Israel ni mara 9 ya wakristo.Wakiristo wa jf wa mbagala mbwa kachoka hawajaamka bado, wakija humu wataushambulia uislam utadhani hivi vita ni kati ya wakiristo na waislam.
Hii ndio nimeisikia leoHawa Wairan si ndio wasuni wanadai kuwa sio waislam ila ni makafiri tu.
Kama ni rahisi hivyo wangekua washafanyaMtoa mada;
Binadanu wakiamua kitu hakuna kisichowezekana; Strait of Hormuz inachukuwa upande wa Oman na Iran.
Mafuta inaweza kusafirishwa kwa njia ya nchi kavu ikitokea kwenye hizo visima then inaingia kwenye bahari kuu ambayo Iran hana umiliki nayo.
Binadamu walitengeneza Meli ya majini wanaweza kutengeneza pia meli ya angani...sijajua unatumia kigezo gani kusema kuwa plant ikiwa 100m below the surface inashindwa vipi kupigwa na bomb? Kwani wewe unamiliki Bomb yoyote? Wakati wenye mabomu yao wanasema kuwa watayapiga na mwenye plant yake hajasema kuwa kuipiga haiwezekani.
Punguza ujuaji ndugu; wenye nguvu wanajuana.
Sasa kwa mfano kati ya SAUDI ARABIA(SUNNI) DOLA LA KIFARMEHawa Wairan si ndio wasuni wanadai kuwa sio waislam ila ni makafiri tu.
Maamuzi huwa yanafanywa kwa kufanya analysis. Siyo emotionsMtoa mada;
Binadanu wakiamua kitu hakuna kisichowezekana; Strait of Hormuz inachukuwa upande wa Oman na Iran.
Mafuta inaweza kusafirishwa kwa njia ya nchi kavu ikitokea kwenye hizo visima then inaingia kwenye bahari kuu ambayo Iran hana umiliki nayo.
Binadamu walitengeneza Meli ya majini wanaweza kutengeneza pia meli ya angani...sijajua unatumia kigezo gani kusema kuwa plant ikiwa 100m below the surface inashindwa vipi kupigwa na bomb? Kwani wewe unamiliki Bomb yoyote? Wakati wenye mabomu yao wanasema kuwa watayapiga na mwenye plant yake hajasema kuwa kuipiga haiwezekani.
Punguza ujuaji ndugu; wenye nguvu wanajuana.
Maamuzi huwa yanafanywa kwa kufanya analysis. Siyo emotions
Hakuna akiba ya maneno. Fact is fact.Weka akiba ya maneno mzeee .... utakuja kufungwa mdomo na hutaamini yatakayokuja kutokea. Tutarudi hapa kwenye hii thread yako kukumbusha ulichoongea.