Iran wa dola za Kimarekani bilion 5 kutoka IMF kukabiliana na Covid 19

Iran wa dola za Kimarekani bilion 5 kutoka IMF kukabiliana na Covid 19

Iran ni kama bongo tu akili fupi

Hivi inawezekana vipi kuwa na pesa zakutengeneza mabomu na kununua Silaa

Halafu ukakinga bakuli kuomba pesa za kupambana na magonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuku wako, manati ya nini?
Sasa ni muda kwa kumnyonyoa manyoya akiwa hai

Viva Trump
... jioni karudi mwenyewe nyumbani baada ya mchana kutwa kukimbia banda kwenda kurukaruka vichakani. Muda sasa wa kumchemshia maji ...
 
Kuna wa irani weusi hii habari sidhani kama wanaweza kuikubali....na itakuwa wame pita kimya kimya kama hawajui kusoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Western countries a.k.a mabeberu ni kama maji, usipoyanywa utayapikia, utaogea au utafulia
 
Na hii iwe funzo kwa sie nchi ndogo tunaoendelea, Maana tunamvimbia sana tukiwa tunajua support ipo kutoka china, sasa leo hii china anapokea misaada mpaka doti za khanga.
kwa huyo inamaana kuwa alianza kupigwa baba na sasa zamu ya watoto sio?
 
Back
Top Bottom