Iran: Waandamanaji watia kiberiti iliyokua nyumba ya Khomeini, wanapinga dhuluma kutoka kwa dini ya kiislamu

Iran: Waandamanaji watia kiberiti iliyokua nyumba ya Khomeini, wanapinga dhuluma kutoka kwa dini ya kiislamu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wananchi wamechachamaa....hadi kieleweke, wamechoka unyanyasaji wa kidini, kila mtu aachiwe huru kwenye masuala ya kiimani, Iran ilikosea sana kumuua mwanamke kisa kipande cha nywele kilichomoza kichwani, serikali inaendelea kuwaua ili kumpigania "mungu" wa waislamu ila wananchi wameamua hata wafe mamilioni lazima uhuru upatikane.

Serikali inaendelea kulaumu Israeli.
======================


Agroup of demonstrators have set fire to the former residence of Iran's late supreme leader Ruhollah Khomeini as part of demonstrations that have been going on for the past two months following the death in custody of Mahsa Amini, who was arrested for allegedly wearing the veil incorrectly.
A woman next to a mural with the Iranian flag and Ayatollah Ruhollah Khomeini in Tehran. - DANI SALVÀ / VWPICS / ZUMA PRESS / CONTACTOPHOTO
A woman next to a mural with the Iranian flag and Ayatollah Ruhollah Khomeini in Tehran. - DANI SALVÀ / VWPICS / ZUMA PRESS / CONTACTOPHOTO© Provided by News 360
Videos circulating on social networks show the flames consuming Khomeini's home, now converted into a museum in honor of the founder of the Islamic Revolution, without the authorities having made any statement on the matter.

The house is located in the town of Khomein, Khomeini's birthplace. Protesters have also set fire to a religious seminary in Qom, one of the holiest cities in the country, according to the Iran International news portal.

Iran has denounced in recent weeks that Western countries are behind the wave of demonstrations. Thus, Iranian Foreign Minister Hosein Amirabdolahian accused Israel and other "Western" countries of planning "a civil war".

The news portal Human Rights Activists News Agency (HRANA) estimates that more than 15,000 people have been taken into police custody, temporarily or so far, since the outbreak of the protests, which have cost the lives of more than 330 people, including some 50 security forces personnel.
 
Hizo zinazo jiita serikali za kidini hazina kabisa ridhaa ya wananchi ila ziko tu madarakani kama vile ccm ilivyo hapa Tanzania.

Leo hii serikali kama hiyo ya Iran au ile ya Saudi Arabia zikipinduliwa watu wanaweza wakatembea uchi kwa kushangilia maanake ni za kibabe na zinazoongoza kwa kuua watu kikatili kwa kisingizio cha dini.

Ni serikali za hovyo ni hakuna mfano. Very hopeless regimes.
 
Back
Top Bottom