Kwamba leo Israel ni tishio kuliko baba yao USA? nafkiri huwa unacomment kwa kutumia Stress na sio mahaba tena, hizo proxy za Iran zinashambuliwa hata na waasi wa Syria pia na Uturuki, em hio Israel unayoisifu ijaribu kushambulia kule Lebanon ya Nasrullah aone huo mziki, ijaribu tu sasaiv kama ilivyojaribu 2006, nafkiri unakuwa unawasifia kwa sababu ya mashambulizi yake ya Gaza kwa hammas, mbona Lebanon hawashambulii na Hizbollah ndio chimbuko lake pale, em wajaribu, Usifananize Iran na vitu vya kipuuzi