Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Video inajieleza
Inaonesha victims wa USA (Vietnam, Gaza, Japan (Hiroshima), Iran nk) wananchi wake wakiwa wanaangalia juu, yani wanaliangalia bomu likiwa linapaa juu, kisha mwisho wa video unaonesha bomu lenye bendera ya Iran likitua jijini New York City na kulipua Statue of Liberty 🗽 ikiwa na maana ya kwamba ili haki itendeke kwa victims wa USA basi USA inapaswa kulipuliwa.