AI video itasaidia nini? Wenzao wanatandika site strategicalyVideo inajieleza
Inaonesha victims wa USA (Vietnam, Gaza, Japan (Hiroshima), Iran nk) wananchi wake wakiwa wanaangalia juu, yani wanaliangalia bomu likiwa linapaa juu, kisha mwisho wa video unaonesha bomu lenye bendera ya Iran likitua jijini New York City na kulipua Statue of Liberty π½ ikiwa na maana ya kwamba ili haki itendeke kwa victims wa USA basi USA inapaswa kulipuliwa
View attachment 3563277
Wanajua wenyewe kwa nini wamepost π πAI video itasaidia nini? Wenzao wanatandika site strategicaly
Na wao wa bypass radar za nchi kadhaa,watumie anga zao waende na aircfraft wakashushe vitu.Wanajua wenyewe kwa nini wamepost π π
Mimi huku nchi yangu haiko involved kwenye vita kwa hiyo nasubiri matokeo tu
Pia sidhani kama kuna bomu linaweza kusafiri umbali mrefu hivyo, Iran-USA
Tech sio shida Kwa muajemi nadhani ni uchumi ndio shidaUSA ipo mbali sana. Sidhani kama wana hiyo teknolojia
Sio lazima teknolojia, awatumie washirika Wake walio karibu na usa kama anavyofanya USAUSA ipo mbali sana. Sidhani kama wana hiyo teknolojia
Iran haina influence kubwa hivyo π πSio lazima teknolojia, awatumie washirika Wake walio karibu na usa kama anavyofanya USA