DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
Kama hatupaswi kumlalamikia Mwalimu kwa mabaya aliyo tutendea mfano katiba & hili la uoga vivo hivyo hatupaswi kuzungumza kwa mazuri aliyo tutendea.Mkuu Nyerere hayupo. Jukumu la kuiweka nchi hii katika misingi inayokubalika kwa maslahi yetu, wanetu na hata ya watoto wa wanetu ni letu sisi leo.
Kwa hakika hii ya kwako ya kumlaumu mtu aliyefariki miaka 20 iliyopita, kwa kushindwa kwetu kufanikisha kupatikana katiba mpya ni mwendelezo ule ule wa kutotaka kuwajibika
Kwa hakika hatuna wa kumlaumu isipokuwa sisi wenyewe:
Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu
: Mwisho wa siku naungana na wewe mkuu kuwa Mwalimu amekwisha kufa tugange yajayo.