Iran wanaposimama imara, lakini si Watanzania

Kama hatupaswi kumlalamikia Mwalimu kwa mabaya aliyo tutendea mfano katiba & hili la uoga vivo hivyo hatupaswi kuzungumza kwa mazuri aliyo tutendea.

: Mwisho wa siku naungana na wewe mkuu kuwa Mwalimu amekwisha kufa tugange yajayo.
 
Binafsi nimewahi kuandika mada kadhaa kwenye hili. Tatizo letu si wasomi bali viongozi:

1. Ni makosa kutegemea watu wote kujitokeza kwenye ukombozi.

"Raila anazungumzia watu milioni moja ili kuwatia adabu mahakama."

2. Ni makosa kutegemea watu kutokea mabarabarani kwa ukombozi kama mvua bila kuwepo mikakati ya wazi ya nini tunataka na tunakipata je.

"Bila uongozi, umati wa watu ni sawa kondoo bila mchungaji."

3. Ni makosa kutegemea kula matunda bila kulipa gharama.

4. Ni makosa kutokutambua gharama za kulipa zinajumuisha umajeruhi, vifungo au hata vifo.

Yako makosa mengi ya kiuongozi.

Ukweli ni mchungu Lakini ni lazima usemwe:

Muda wa mapinduzi vyamani ni sasa
 
Pia mkuu unapo izungumzia Iran [ Persian ] anza kwanza kusoma historia ya Iran iliyo jaa mapinduzi na vurugu za mabadiliko toka miaka ya zamani sana, kwa hiyo hili jambo la sasa sio jipya kwa Iran.

: Historia ya Iran haina tofauti sana na historia ya China, U.S.A, Russia, France.
 
Hayo mambo yanawezakana Zanzibar kwenye wanaume wa kweli. Siyo huko bara.

Mkuu hata huku historia za mapambano ni hizo hizo:

Vita vya maji maji, Mkwawa na wajerumani, Isike na wakoloni, Milamba na wakoloni nk.

Hatutapewa tunachotaka mezani.
 
Wewe ni MPUMBAVU sana. Nyerere katawala hadi 1985, CCM kangatuka 1992 halafu kafariki 1999. ujinga wako unataka kumlaumu Nyerere. Hizi ni akili au mavi kichwani
 
Mkuu hata huku historia za mapambano ni hizo hizo:

Vita vya maji maji, Mkwawa na wajerumani, Isike na wakoloni, Milamba na wakoloni nk.

Hatutapewa tunachotaka mezani.
Ni kweli kwenye meza kuna matokeo hasi hakuna matokeo chanya ya kinacho piganiwa.
 
Wewe ni MPUMBAVU sana. Nyerere katawala hadi 1985, CCM kangatuka 1992 halafu kafariki 1999. ujinga wako unataka kumlaumu Nyerere. Hizi ni akili au mavi kichwani
Ni nani mpumbavu ni mimi niliye wakilisha kile alichojutia Mwalimu kwa kufanya kwa WATANZANIA au Mwalimu ndiye mpumbavu kwa kukiri makosa yake ?
 
Naona una hamu kuona machafuko yanatokea nchi hii. We ni mchawi hii siyo bure. Anza uchokozi wewe usishawishi watu we ngedere uanze kuonja utamu maana umechoka amani.
 
Naona una hamu kuona machafuko yanatokea nchi hii. We ni mchawi hii siyo bure. Anza uchokozi wewe usishawishi watu we ngedere uanze kuonja utamu maana umechoka amani.

Nina hamu ya katiba mpya. Siyo miye peke yangu tuko wengi.

Hiyo tutaipata kwa heri au kwa shari bila kujali walamba asali, vibaraka wao au chawa wao wangapi mnasema je.

Habari ndiyo hiyo.
 
Ni nani mpumbavu ni mimi niliye wakilisha kile alichojutia Mwalimu kwa kufanya kwa WATANZANIA au Mwalimu ndiye mpumbavu kwa kukiri makosa yake ?
Mpumbavu ni wewe ambaye bado unasingizia Mwalimu kwa failures zako za leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…