Kama itasimamishwa basi Iran itafanya kila iwezalo kuunda bomu
Kwa haraka haraka kama material yote yapo wanaweza kutumia wiki2 hadi mwezi mmoja.
Tatizo ni muda Israel hampi Iran apumue anaharibu siraha zote na viwanda vinapigwa kiberiti.
Israel anaelewa kama akimuachia hapa atakua ni hatari zaidi.
Ni sawa na nyoka ambae amenusurika kuuwawa anakua mkali sana.
Israel haiwezi kusimamisha vita hadi wapage kichwa cha MADUSA