Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi pale Ukraine una taka kusema Marekani na washirika wake hawapo ? Pale Syria vipi hakuwepo? Na kule Afghanistan walikuwepo SWAT team sioHivi unazani Iran anatamani vita na Israel? Hakuna nchi chini ya jua inatamani kupigana vita na Marekani. NAZANI WENYE AKILI WAMENIELEWA. NASEMA TENA HAKUNA SI CHINA WALA URUSI
Engineer wao alikuwa Nape Nauye akishirikiana na mdoli Eunice.Unategemea nini hapo?Nape akae chonjo na drones.Safari hii tunataka kuona uwezo wao. Nyuma hapo walituletea vidrone na vikombola vyao masaa manane viko angani.
Viliishia Njiani tu. Huwezi kumpiga mu Israeli kwa kutumia vile vitoi.
Safari hii tunataka kuona vitu.
LA sivyo aache kupiga makelele.
Kama huna cha kuongea nyamaza.Safari hii tunataka kuona uwezo wao. Nyuma hapo walituletea vidrone na vikombola vyao masaa manane viko angani.
Viliishia Njiani tu. Huwezi kumpiga mu Israeli kwa kutumia vile vitoi.
Safari hii tunataka kuona vitu.
LA sivyo aache kupiga makelele.
Vita ya Hamas ya miezi 9 imemvunjia jeshi mpaka anakamata wasoma dini wa jews orthodox akiwalazimisha wajiunge jeshi.Hivi unazani Iran anatamani vita na Israel? Hakuna nchi chini ya jua inatamani kupigana vita na Marekani. NAZANI WENYE AKILI WAMENIELEWA. NASEMA TENA HAKUNA SI CHINA WALA URUSI
Wanataman na kila siku wanachokozana we mbwiga huku baki na akili zako za kitumwaHivi unazani Iran anatamani vita na Israel? Hakuna nchi chini ya jua inatamani kupigana vita na Marekani. NAZANI WENYE AKILI WAMENIELEWA. NASEMA TENA HAKUNA SI CHINA WALA URUSI
Weweee! Vitu avitoe wapi broo? Unataka kumkamua ng'ombe dume eti upate maziwa!Safari hii tunataka kuona uwezo wao. Nyuma hapo walituletea vidrone na vikombola vyao masaa manane viko angani.
Viliishia Njiani tu. Huwezi kumpiga mu Israeli kwa kutumia vile vitoi.
Safari hii tunataka kuona vitu.
LA sivyo aache kupiga makelele.
Missile zipi tena? Hapo mwenzenu ndo kamaliza kihenge - hana cha zaidi ya hapo. Amemaliza syllabus yake.Kama huna cha kuongea nyamaza.
Lile lilikua shambulio la show of force not use of force.
Iran ana highly precision guided missiles ambazo huyo Iran hawezi kuzizuia.
Wewe kaa kwa kutulia shambulio lifanyike.
Yale yaliyotumika yalikua makombora mepesi.
Iran ana missile tofauti tofauti.Missile zipi tena? Hapo mwenzenu ndo kamaliza kihenge - hana cha zaidi ya hapo. Amemaliza syllabus yake.
Mbona Myahudi alishamsoma game lake na anajua fika namna ya kumkabili.Iran ana missile tofauti tofauti.
Ana light na heavy missile ambazo zipo unguided na zipo guided missiles.
Zile alizotumia May zilikua ni light unguided missiles.
Sasa ngojea atoe stock ya guided missiles halafu uone huyo myahudi wako atatobolea wapi.
Unakumbuka lile kombora alilotumia Hizbollah mwezi wa kwanza kusambaratisha kambi nzima ya Galilaya?
Sasa ndio yatatumika yale😂😂😂.
Halafu hatutarusha mengi sasa tutarusha machache tu.
Hii inaeleweka kweli?.
Iran ana highly precision guided missiles ambazo huyo Iran hawezi kuzizuia.
Iran Wasituletee Vikombola Vyao vile Vyenye speed ya Bajaj(Masaa manane viko angani)😀😀😀😀😀😀Safari hii tunataka kuona uwezo wao. Nyuma hapo walituletea vidrone na vikombola vyao masaa manane viko angani.
Viliishia Njiani tu. Huwezi kumpiga mu Israeli kwa kutumia vile vitoi.
Safari hii tunataka kuona vitu.
LA sivyo aache kupiga makelele.
Ni typing error tu mkuu. Hiyo Iran mwishoni mwa sentensi yake, ww andika hapo Israel au Myahudi. Lakini ngoja arekebishe mwenyewe.Hii inaeleweka kweli?
😂😂😂😂😂Yani Hizbollah awe na akili za kutumia hayo makombora halafu Iran anayemsaidia Hizbollah asiwe na akili ya kutumia hayo makombora!?Mbona Myahudi alishamsoma game lake na anajua fika namna ya kumkabili.
Iran kuwa na aina tofauti tofauti za missiles sio shida. Je, anayo akili, ujuzi na ujasiri wa kuzitumia? Wale walio kuwa nguli wa kuzitumia mbona walishawahishwa huko kwa allah wenu wanashughuli nzito kwa mabikra 72 na mito ya pombe?
Lakini master mind wao I.Han..... si hayupo? Na yule mwengine (nimesahau jina) naye si hayupo? n.k.n.k. Wewe huoni upungufu kwa hilo kukosekana kwao? Waliobako ni copy sio og.😂😂😂😂😂Yani Hizbollah awe na akili za kutumia hayo makombora halafu Iran anayemsaidia Hizbollah asiwe na akili ya kutumia hayo makombora!?
Hiyo Hizbollah ana uwezo wa kupenyeza makombora Israel kwa uwezo wa Iran.
Stay tuned mzee.
Jeshini mkuu lazima kuwe na mbadala.Lakini master mind wao I.Han..... si hayupo? Na yule mwengine (nimesahau jina) naye si hayupo? n.k.n.k. Wewe huoni upungufu kwa hilo kukosekana kwao? Waliobako ni copy sio og.
Ingekuwa ni nchi nyingine sio Russia imeivamia Ukraine ungeona USA na washirika wake wameingia kama Libya. Ila ndio hivyo wanaishia kutoa msaada wakiwa mbali sana.Hivi unazani Iran anatamani vita na Israel? Hakuna nchi chini ya jua inatamani kupigana vita na Marekani. NAZANI WENYE AKILI WAMENIELEWA. NASEMA TENA HAKUNA SI CHINA WALA URUSI