Sikatai kwa hiyo wew una majibu ya moja kwa moja zikipigwa kati ya Marekani na Urusi anapigwa Marekani?Ingekuwa ni nchi nyingine sio Russia imeivamia Ukraine ungeona USA na washirika wake wameingia kama Libya. Ila ndio hivyo wanaishia kutoa msaada wakiwa mbali sana.
Si unaona China inavyosogezewa air craft carrier mara kwa mara kwa sababu ya Taiwan, jiulize kwanini hizo air craft carrier hazisogei kule karibu na Russia utapata jibu.