Iran wawaambia Urusi kuwa ni wanafiki - Wamewaacha peke yao kwenye shida

“On the night Israel attacked us, our military’s defense system stood alone, completely alone" There were only 90 million of us to the 'overwelming' 7 milliona of them. We didn't stand a chance. 🤔
Ukiongezea tena na kipigo chenyewe cha mbwa koko kutolewa na kinamama na kina shangazi wa Idf, si ni dharau kubwa sana hiyo!
 
Hivi bro unatumia ubongo wako kufikiria kweli? Hebu vuka mpaka nenda japo bondeni kwa Madiba Katoe tongotongo,toka huko Ikwilili. Kuna Malema kule na waafrika waliojanjaruka.
Kweni Umkonto we Sizwe walikuwa wanapigania kuwafuta Boers na Wazungu wengine katika Ardhi ya South Africa?!
 
Kwamba Allah alikuwa kalala wakati Iran inapokea kichapo heavy?

Mungu kashindwa kujiokoa

Matthew 27:39-44 New Living Translation (NLT)
“You said you were going to destroy the Temple and rebuild it in three days. Well then, if you are the Son of God, save yourself and come down from the cross!” The leading priests, the teachers of religious law,
 
una umri gani kwani? Kwa zama hizi unatakiwa uwe unajua how governments operates ,unatakiwa ujue credibllity ya habari unayoipost na kuisambaza
Haya tuambie huyo muandishi ana status gani kwa wa iran na yupo chombo gani cha habari hapo iran?
Kila unachokiona kwenye social media usikibebe kama kikivyo kisa tu kinakufurahisha, unaaibisha elimu na uelewa wako
Muwe mnahoji kwa style hii hii inapoletwa habari ya kukandia waisraeli.
 
Kasheshe limeanza kueneza karibu nchi nzima kutowaamini Russia haswa wakati kama huu kuwa Russia sio kwamba anaweza kuwa bega kwa bega na Iran wakati wa Shida tu ila Russia hana uwezo pia wa kuwazuia Israel.

Russia wakizidiwa na Ukraine wanakuja kwetu tunawasaidia Drone na maroketi, tumewaomba mfumo wa S-400 na Ndege zao za kisasa SU-35 wameahidi kuleta ila hadi leo hawajatupatia hata moja.

Wanashindwa kutusaidia haswa wakati huu wa vita ebo russia ni wanafiq alilamika muandishi, Usiku ule tumeshambuliwa zana zetu za ulinzi zimezuia pekee bila usaidizi kutoka russia

Hatua hiyo Msemaji wa wizara aliingilia kati na kusema mambo ya siasa iachiwe wizara ya mambo ya nje.

Kuna dalili kuwa kipigo cha Israel kilikuwa na madhara makubwa sana japo wameficha sana ila kidonda hakijifichi nzi watajaa tu
View attachment 3138706
RUSSIAN S-400 ANTI-AIRCRAFT missile systems drive by during a rehearsal for the Victory Day parade in Moscow. (photo credit: MAXIM SHEMETOV/REUTERS)
Iranian journalist criticizes Russia over lack of support against Israel

Iran has faced ongoing criticism for its strategic reliance on Russia, with some regime insiders questioning the relationship.​

A local journalist in Iran publicly criticized Russia on Monday for failing to provide promised defense systems, leaving Iran vulnerable during recent Israeli attacks. According to Iran International, reporter Ali-Akbar Saadati from Kar va Kargar directly questioned the Iranian government on a daily basis on Russia’s unfulfilled commitments to supply S-400 anti-aircraft systems and Su-35 fighters.

“Whenever they faced difficulties in Ukraine, suffered misfortune, or got stuck in the quagmire of the Ukraine war, they came running to us, asking for drones, missiles, everything,” Saadati said, expressing frustration over Iran’s isolation during Israeli airstrikes. “On the night Israel attacked us, our military’s defense system stood alone, completely alone,” he said.

The line of questioning prompted Foreign Ministry spokesman Esmail Baghaei to call for decorum, urging reporters to refrain from making political statements. “I ask friends to raise questions here and leave the task of issuing political statements to the foreign ministry,” Baghaei responded, adding, “One of the proud achievements of the Islamic Republic of Iran is its reliance on its strength, a result of the sacrifices of thousands.”

Russo-Iranian axis​

Iran has faced ongoing criticism for its strategic reliance on Russia, with former National Security Committee head Heshmatollah Falahatpisheh previously questioning Moscow’s lack of support. After an Iranian attack on Israel, Falahatpisheh noted, “other powers did not come to Iran’s aid even in wartime conditions,” despite Tehran’s provision of drones to Russia for the Ukraine war, reported Iran International.

Since October 2022, Iran has supplied Russia with drones for its invasion of Ukraine, a move initially denied by Tehran but later acknowledged. However, promised support from Moscow, particularly advanced defense systems, has not materialized, leading to growing frustration within Iran as regional tensions with Israel continue.

Alex Selsky, adviser to the Middle East Forum and former adviser to Prime Minister Netanyahu, told The Jerusalem Post: “This incident is further evidence of another significant achievement of last Saturday’s Israeli strike. The strike demonstrated to the Iranians that Russia will not stand by them or defend them – not only because it doesn’t want to, but also because it cannot.”
Mrusi anajua kuwa Iran inafanya makosa kufadhili vikundi vya kigaidi ili kuidhuru Israel. Warusi wengi hususan wataalamu wa silaha na sayansi ni Waisraeli.
 
Ebu tuambie katika hii habari yako ndefu ni kiongozi gani wa serikali ya Iran ameilaumu Urusi? lete hiyo kauli ya kiongozi yeyote wa serikali ya sasa akilaumu uhusiano wao na Urusi
 
Mrusi anajua kuwa Iran inafanya makosa kufadhili vikundi vya kigaidi ili kuidhuru Israel. Warusi wengi hususan wataalamu wa silaha na sayansi ni Waisraeli.
Achana na udaku , Urusi anajua kuilinda Iran ni kujilinda yeye pia, Iran ana umuhimu mkubwa kwa Urusi kwa mambo yalivyo sasa
 
Iran kama anga lake liko wazi hivyo angeachana tu na majigambo na kuwa mpole. Akianzisha vita atachakazwa vibaya sana. Hizo cruise na ballistic missiles anazozitegemea zitaishia kuzuwiwa na Israeli na washirika wake. Hata proxies zake alizotegemea kushambulia Israeli, Hamas na Hezbollah, zipo Hoi kama Sio kumalizwa uwezo kabisa. Rejea kelele za aljazeera
 
Back
Top Bottom