Sasa hivi wangelikuwa wanalaumu marekani na Israel kwa kuwachonganisha.Irani nawakubali sana
Sijawahi sikia tamko la serikali yetu kuwataka watu wake wachukue extra care and cautionary measures katika machafuko yoyote katika nchi yoyote duniani. Sisi tupo tupo tuBold move. Sisi Africa ndio hatwezagi kukanya ama kuonya.
America watu wanapigana risasi kila siku tuko kimya. Tungekemea hata Serikali ya Marekani kuwa ineffective na kuacha watu wanauana kila siku kwa sera zao za kuuza silaha kiholela. Pia tuonye raia wetu kuwa makini wanapokua Marekani kwasababu watu wanauana ovyo.
WELL CAN WE.
Ngoja mpaka tuwe uchumi wa kati wa juu, tutavimba na sisiSijawahi sikia tamko la serikali yetu kuwataka watu wake wachukue extra care and cautionary measures katika machafuko yoyote katika nchi yoyote duniani. Sisi tupo tupo tu
Tanzania iiwekee vikwazo ufaransa!!!!! Nimecheka kweliBi Mkubwa Bunge limshinikize atoe tamko Ufaransa ilinde haki za waandamanaji; awaambie waziwazi kwamba Tanzania inafuatilia kwa ukaribu mwenendo wa harakati za kisiasa na vitisho vya serikali dhidi yao.
Tanzania iiwekee Ufaransa vikwazo hadi pale itakaporidhia kuheshimu na kulinda haki za binadamu.
Kwa nini umecheka, mkuu? Tanzania geographical size ni laki 9 sq. km wakati Ufaransa ni laki 5 tu. Huoni hapo kwamba tumejisahau ku-play part yetu?Tanzania iiwekee vikwazo ufaransa!!!!! Nimecheka kweli