Iran: Wizara ya Mambo ya Nje nchini Iran yawasihi Raia wao kuepuka safari zisizo na lazima kwenda Ufaransa kufuatia machafuko yanayoendelea

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
20230703_085515.jpg

Wizara ya Mambo ya Nje nchini Iran imewashauri Wairani dhidi ya kufanya safari zisizo za lazima nchini Ufaransa huku kukiwa na machafuko yanayoendelea.

Pia Wizara hiyo imeishauri polisi na serikali ya Ufaransa kujizuia kutumia mabavu kutuliza vurugu zinazoendelea na kuzingatia matakwa ya waandamanaji, kuheshimu uhuru wao wa kujieleza na haki yao ya kuandamana.
 
Bold move. Sisi Africa ndio hatwezagi kukanya ama kuonya.

America watu wanapigana risasi kila siku tuko kimya. Tungekemea hata Serikali ya Marekani kuwa ineffective na kuacha watu wanauana kila siku kwa sera zao za kuuza silaha kiholela. Pia tuonye raia wetu kuwa makini wanapokua Marekani kwasababu watu wanauana ovyo.

WELL CAN WE.
 
Bi Mkubwa Bunge limshinikize atoe tamko Ufaransa ilinde haki za waandamanaji; awaambie waziwazi kwamba Tanzania inafuatilia kwa ukaribu mwenendo wa harakati za kisiasa na vitisho vya serikali dhidi yao.

Tanzania iiwekee Ufaransa vikwazo hadi pale itakaporidhia kuheshimu na kulinda haki za binadamu.
 
Sijawahi sikia tamko la serikali yetu kuwataka watu wake wachukue extra care and cautionary measures katika machafuko yoyote katika nchi yoyote duniani. Sisi tupo tupo tu
 
Ngoja mpaka tuwe uchumi wa kati wa juu, tutavimba na sisi
 
Bi Mkubwa Bunge limshinikize atoe tamko Ufaransa ilinde haki za waandamanaji; awaambie waziwazi kwamba Tanzania inafuatilia kwa ukaribu mwenendo wa harakati za kisiasa na vitisho vya serikali dhidi yao.

Tanzania iiwekee Ufaransa vikwazo hadi pale itakaporidhia kuheshimu na kulinda haki za binadamu.
Tanzania iiwekee vikwazo ufaransa!!!!! Nimecheka kweli
 
Kwa nini umecheka, mkuu? Tanzania geographical size ni laki 9 sq. km wakati Ufaransa ni laki 5 tu. Huoni hapo kwamba tumejisahau ku-play part yetu?

Bi Mkubwa ashinikizwe atake asitake, atoe tamko dhidi ya Ufaransa. Kama hataki, Bunge limlazimishe.
 
Back
Top Bottom