Unaripoti kutoka wapi Uyole?Naionea huruma IRAN, WATAKUFA KAMA KUKU WA KIDERI
😁😁😁😁 Hatuko Gaza kwenye vilio. Angalia hiyo emoji yako kicheko kimegeuka kiliounataka kulia😂
Kwanini usiende Gaza ukapigane kuliko kutumia mitandao ya makafiri kupiga kelele? Unaripoti kutoka msikiti wa wapi na kifaa gani cha makafiri unatumia?pumbavu kabisa machungu wanaopata watu wa Gaza na wao wayapate, kuna mapunguani Mayahudi weusi walikuwa wanashabikia Israel akiwauwa watoto na wanawake.
View: https://x.com/suppressednws/status/1934439397539315756?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Muisrael mweusi wa Njombe anatoa tamko😂Kwanini usiende Gaza ukapigane kuliko kutumia mitandao ya makafiri kupiga kelele? Unaripoti kutoka msikiti wa wapi na kifaa gani cha makafiri unatumia?
Hayo yote Israel ilikuwa inajua itatokea ila kumbuka makamanda wa kijeshi wanaohusika na nyuklia wamekufa
Muiran mweusi wa Pwani anatoa tamko😁😁😁 Hivi hapo Iran hakuna muiran mweusi mwenye akili akatupa updates za moja kwa moja kutoka Israel? maana kureport kwa kutumia mitandao ya makafiri huwezi kupata habari zote, zingine zinafichwa😁😁😁Muisrael mweusi wa Njombe anatoa tamko😂
View: https://x.com/iranarmed/status/1934588788379902167?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mambo ya dini peleka jukwa la dini hapa tunaongelea kichapo anapewa bwana wenu.Muiran mweusi wa Pwani anatoa tamko😁😁😁 Hivi hapo Iran hakuna muiran mweusi mwenye akili akatupa updates za moja kwa moja kutoka Israel? maana kureport kwa kutumia mitandao ya makafiri huwezi kupata habari zote, zingine zinafichwa😁😁😁
Mkuu wa intelejensia wa Iran na naibu wake wauawa baada ya Israel kulipua chumba chao cha siri katika jengo la wizara ya intelejensia
Mods tafadhali sana msiunganisha mijadala inayohusu matukio makubwa ya kiusalama kama kuuawa kwa mkuu wa jeshi au waziri. Haya ni matukio ya kipekee tofauti na milipuko ya kila siku, mambo haya yanahitaji kujadiliwa kwa muktadha wake maalum, Cheo hicho ni sawa na mkuu wa usalama wa taifa wa...www.jamiiforums.com
Na mini huwa siwaelewi waswahili wanao support ushenzi no ukatiri WA Wayahudi,kadri siku zinavyo kwenda huwa natafakari kwamba labda Adolf Hitler alielewa ukatiri WA mioyo ya Wayahudi kuliko Mataifa mengine, utuwasemi vibaya lakini hawa watu hawana roho ya kibinadamu hata kidogo ni mikatiri tu by default!!!pumbavu kabisa machungu wanaopata watu wa Gaza na wao wayapate, kuna mapunguani Mayahudi weusi walikuwa wanashabikia Israel akiwauwa watoto na wanawake.
View: https://x.com/suppressednws/status/1934439397539315756?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wairan wangekuwa wanatuma drones aina ya kamikaze, ukijitia kuzifukuza zinakulipukia!!Israeli helicopters chasing the drone, the drone has been flying for 30 minutes now moving from East to West Israel.