Wanaukumbi
JUST IN:
Iranian suicide drones have entered Jordanian airspace and are heading toward Israel.
UK, US and Israel, with support from Arab nations are working to intercept them.
================
Ndege zisizo na rubani za Iran za kujitoa mhanga zimeingia kwenye anga ya Jordan na kuelekea Israel.
Uingereza, Marekani na Israel, kwa kuungwa mkono na mataifa ya Kiarabu wanafanya kazi ya kuwazuia.
View: https://x.com/currentreport1/status/1933415085872906278?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
UP DATE…………..
View: https://x.com/marionawfal/status/1933722791875911874?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Umeitoa kijiwe gan kk
Uzuri muda si mrefu majibu yatapatikana, kuna mmoja anajipigia tu makombora bila kuathiri uwezo wala kuua makamanda, Mwingine anapiga kwa malengo na kimkakati, kwanza kaua waongoza vita tegemezi, kisha kaua mfumo wa kulinda anga, sasa anashambulia mifumo inayorusha makomboraIsrael imefanya jambo la kijinga Sana kushambulia Iran kipindi hiki ambapo hata baba yake anaiogopa Iran
🚨🇮🇱🇮🇷IRAN ILI KUHAMISHA MBINU: MAKOMBORA MACHACHE, ATISHA ZAIDIUzuri muda si mrefu majibu yatapatikana, kuna mmoja anajipigia tu makombora bila kuathiri uwezo wala kuua makamanda, Mwingine anapiga kwa malengo na kimkakati, kwanza kaua waongoza vita tegemezi, kisha kaua mfumo wa kulinda anga, sasa anashambulia mifumo inayorusha makombora
Kitu ambacho wewe haukijui ni kuwa alichokifanya Israel kuuwa viongozi wa Iran ni kosa Sheria za mizozo na vita za UN zinakata hilo so Iran yeye anafuata Sheria za vitaSiku zote majibu ya Iran ni dhaifu sana. Viongozi wao wakubwa wanauawa , pia vituo vyao muhimu vya kijeshi vinalipuliwa halafu eti wao ni kurusha vi drones tu basi na kutoa matamko ya mikwala.