Iran yaanza kujibu mashambulizi yarusha mamia ya drones kuelekekea Israel

Iran yaanza kujibu mashambulizi yarusha mamia ya drones kuelekekea Israel

Uzuri muda si mrefu majibu yatapatikana, kuna mmoja anajipigia tu makombora bila kuathiri uwezo wala kuua makamanda, Mwingine anapiga kwa malengo na kimkakati, kwanza kaua waongoza vita tegemezi, kisha kaua mfumo wa kulinda anga, sasa anashambulia mifumo inayorusha makombora
Akli za kipuuzi sana unamshambulia mtu halafa unampangia namna ya kujibu😂

Wewe upo Njombe ndiyo unaona makombora yanarushwa hovyo.

Umeishajiuliza kombora linasafiri Km 1500 linatua sehemu uhusika wewe unasema yanarushwa hovyo.

Mabwana zako ni waoga wanatumia ugaidi kuwavizia viongozi wa Iran.
 
Kuna mapunguani humu walikuwa wanataka Iran akishambuliwa aka kimyq
 
Akli za kipuuzi sana unamshambulia mtu halafa unampangia namna ya kujibu😂

Wewe upo Njombe ndiyo unaona makombora yanarushwa hovyo.

Umeishajiuliza kombora linasafiri Km 1500 linatua sehemu uhusika wewe unasema yanarushwa hovyo.

Mabwana zako ni waoga wanatumia ugaidi kuwavizia viongozi wa Iran.
Kurushwa hovyo tafsiri yake ni kuona damages kwenye military assets ili kupungua uwezo wa adui kukufikia, bahati mbaya military science ni taaluma niliyo nayo sio ushabiki wa kahawa, kuna uwezekanao mkubwa hata chain ya events tangu Syria na mpaka kupandikiza molecules kwenye mifumo yote sensitive ya ulinzi Iran ilikua ni mikakati ya muda mrefu sana. Binafsi sielewi mpaka Majenerali wote wanafyeka how safe are you?, ni sawa nyumba imeingia nyoka na kuna giza
 
Waisraeli wengi wamepigwa na mshtuko baada ya mfumo wa ulinzi wa anga wa nchi hiyo kushindwa kuzuia makombora ya Iran, na kuharibu hali yao ya usalama. Lakini raia wa Palestina wa Israel wanasema hawakuwahi kujisikia salama kwa kuanzia.
 
🚨🇨🇳🇺🇸 CHINA YAIONYA MAREKANI: "ACHA KUMWAGA MAFUTA KWENYE MOTO WA IRAN-ISRAEL"

Beijing ilikashifu onyo la Trump kwa wakaazi wa Tehran kuhama, ikiishutumu Amerika kwa kuzidisha mzozo wa Iran na Israeli.

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje Guo Jiakun:

"Kuwasha moto, kumwaga mafuta, kutoa vitisho na shinikizo kubwa hakutasaidia kukuza hali hiyo, lakini kutazidisha na kupanua mzozo."

Chanzo: Al Jazeera
 
Mbona leo Iran kimya? Kaishiwa?
TAARIFA KUTOKA KWA MAHUSIANO YA UMMA YA JESHI LA IRAN:

"Mamia ya ndege zisizo na rubani za masafa marefu za aina ya "Arash", zilizo na vichwa vya vita vya uwezo wa uharibifu mkubwa na usahihi wa uhakika, zimezinduliwa katika saa zilizopita kuelekea malengo ya kimkakati ndani ya maeneo yanayokaliwa.

Mashambulizi ya hivi karibuni yamesababisha uharibifu mkubwa wa vifaa vya kijeshi na silaha ndani ya kina cha Wazayuni, huko Tel Aviv na Haifa, na saa za kuongezeka zinazokuja zitakuwa kali zaidi na kubwa.

Adui lazima atambue kwamba mashambulizi haya ni mwanzo wa awamu mpya ya kuzuia kijeshi.

Vikosi vyetu vya kijeshi, hasa vikosi vya ardhini katika jeshi, vimeanza wimbi jipya la mashambulizi kwa silaha za kisasa na za hali ya juu, na kitakachokuja kitakuwa cha vurugu zaidi."
 
Sikia maneno ya Ayatollah Khomen akimjibu mjinga Netanyahu kuhusu kumtisha kumuwa aludhani ataogopa

Haya ndiyo maneno ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, Ali Khamenei, yaliyotolewa kwa kujibu kauli za mhalifu Benjamin Netanyahu, kwa tafsiri ya Kiswahili:


---

Kiongozi Mkuu wa Baraza la Mapinduzi ya Kiislamu – Ali Khamenei – amesema:

"Maisha haya ya dunia kwangu hayana thamani hata ya miwani yangu hii – na damu yetu si ya thamani zaidi kuliko damu ya mashahidi wetu…!"



"Hatutosimamisha vita vyetu dhidi ya adui Mzayuni hadi msikiti wa Al-Aqsa ukombolewe kikamilifu, na hadi askari wa mwisho wa Kizayuni atoke katika ardhi ya Palestina!"



"Kifo au kuuawa shahidi kwa kiongozi mmoja hakutabidili msimamo wa Iran wala kuidhoofisha. Kuna makumi ya maelfu ya makamanda wa kijeshi na maelfu ya wanazuoni vijana – hawa ndio wanaoiendesha Iran, wanaopigana na wanaoongoza mapambano moja kwa moja uwanjani dhidi ya adui Mzayuni"



"Hakuna cha kuogopa kuhusu Iran wala kuhusu mpango wake wa nyuklia – dhidi ya tishio lolote la uvamizi kutoka nje!"
 
Back
Top Bottom