Iran yaanza kujibu mashambulizi yarusha mamia ya drones kuelekekea Israel

Iran yaanza kujibu mashambulizi yarusha mamia ya drones kuelekekea Israel

Kitu ambacho wewe haukijui ni kuwa alichokifanya Israel kuuwa viongozi wa Iran ni kosa Sheria za mizozo na vita za UN zinakata hilo so Iran yeye anafuata Sheria za vita
Subutuuuu!!! Eti Iran 🇮🇷 anafuata hizo sheria. Anataka sana tu sema atawapatia wapi
 
Mawakala wa Mossad huko Iran ambao walitoa msaada kwa Israel kuuwa viongozi wa Iran hiki ndiyo wanachofanyiwa wanafungwa kwenye makombora.
 

Attachments

  • IMG_6226.jpeg
    IMG_6226.jpeg
    447.1 KB · Views: 16
  • IMG_6227.jpeg
    IMG_6227.jpeg
    327.4 KB · Views: 12
Kulingana na gazeti la Haaretz, gazeti la Israel, muda uliokadiriwa wa kujenga upya eneo la Bat Yam, ambalo lililipuliwa na makombora ya Iran siku mbili zilizopita, ni karibu miaka 5 tangu uharibifu huo ufikie majengo 80, 22 kati yake yatahitajika kubomolewa kwa sababu ya hatari ya kuanguka. Hii ni huku juhudi za utafutaji na uokoaji zikiwa bado zinaendelea katika eneo hilo.
 

View: https://x.com/bricsinfo/status/1934676171494727873?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

INGIA TU: 🇺🇸🇮🇱 Seneta wa Marekani Bernie Sanders amkosoa Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu

"Netanyahu alianzisha vita hivi kwa kuishambulia Iran. Alimuua Ali Shamkhani, msuluhishi mkuu wa Iran wa nyuklia, akihujumu kwa makusudi mazungumzo ya nyuklia ya Marekani na Iran.

Marekani haipaswi kuburutwa katika vita vingine haramu vya Netanyahu - kijeshi au kifedha."
 
Mambo ya dini peleka jukwa la dini hapa tunaongelea kichapo anapewa bwana wenu.
Mimi situmii lugha ya bwana wangu muarabu ili nisome Quran.
Bwana wako mpaka sasa makamanda wale wa ngazi za juu wameuwawa, bado raisi wa Iran atauliwa halafu hii issue wairan wanatoa taarifa kuhusu makamanda pamoja na viongozi wa juu wa Iran.
Mpaka sasa Israel 1-0 Iran maana Iran anapiga ovyo ovyo lakini Israel anapiga kwenye kidonda. Ingia Al Jeezera kuna kamanda mwingine wa Iran ameuwawa pia kalipua kiwanda cha mafuta.
 
Mawakala wa Mossad huko Iran ambao walitoa msaada kwa Israel kuuwa viongozi wa Iran hiki ndiyo wanachofanyiwa wanafungwa kwenye makombora.
Huyu walimfunga akenda kufia kwa Shetanyahu afu Israel mjinga sana hao wayahudi wa Iran walikuwa wamestarehe sana Iran sa ye kuwatumia kudhuru Iran watakuja kupelekewa moto sijui watakimbilia wapi.

Iran anasema leo watapelekewa moto non stop


View: https://youtu.be/Rf1WPe5dbrA?si=ch9bZ5w0MhANZHVN
 
Uzuri muda si mrefu majibu yatapatikana, kuna mmoja anajipigia tu makombora bila kuathiri uwezo wala kuua makamanda, Mwingine anapiga kwa malengo na kimkakati, kwanza kaua waongoza vita tegemezi, kisha kaua mfumo wa kulinda anga, sasa anashambulia mifumo inayorusha makombora
Ndivyo unavyojidanganya??
Mossad HQ imelipuliwa.
Haifa oil refinery imelipuliwa.
Bado unasema Iran wanajirushia hovyo makombora!?
 
Mimi situmii lugha ya bwana wangu muarabu ili nisome Quran.
Bwana wako mpaka sasa makamanda wale wa ngazi za juu wameuwawa, bado raisi wa Iran atauliwa halafu hii issue wairan wanatoa taarifa kuhusu makamanda pamoja na viongozi wa juu wa Iran.
Mpaka sasa Israel 1-0 Iran maana Iran anapiga ovyo ovyo lakini Israel anapiga kwenye kidonda. Ingia Al Jeezera kuna kamanda mwingine wa Iran ameuwawa pia kalipua kiwanda cha mafuta.
Wewe endelea na mipasho kwenye huu uzi tutakuwa tunakusoma wakati tukisubiri Israel anavyopelekewa moto. Usitoke kwenye huu uzi wewe ni mtu muhimu sana kwa mipasho.
 
Back
Top Bottom