Iran yaanza kujibu mashambulizi yarusha mamia ya drones kuelekekea Israel

Iran yaanza kujibu mashambulizi yarusha mamia ya drones kuelekekea Israel

Bado hazijafika hadi leo? Ndugu katika uislam. The rest makafir😡😡😡😡
🚨🇮🇷🇮🇱 This week, Iran has SUCCESSFULLY BOMBED:

🚀 Mossad HQ, Unit 8200
🚀 IDF General Staff HQ
🚀 Israel’s Defense Ministry
🚀 Israel’s Rafael Weapons Co.
🚀 Israel’s top biochemical facility
🚀 Nevatim & Ramat David Airbase
🚀 Palmachin Airbase
🚀 Haifa’s top oil refining HQ
 
Iran is doing a great job 👏
 
🚨🇮🇷🇮🇱 This week, Iran has SUCCESSFULLY BOMBED:

🚀 Mossad HQ, Unit 8200
🚀 IDF General Staff HQ
🚀 Israel’s Defense Ministry
🚀 Israel’s Rafael Weapons Co.
🚀 Israel’s top biochemical facility
🚀 Nevatim & Ramat David Airbase
🚀 Palmachin Airbase
🚀 Haifa’s top oil refining HQ
Story za hapo kinondoni mkwajuni hizi, hakuna chochote. Hata Tariq Aziz enzi za Sadam Husein vs US mashirika wake UK aliwafariji nyie fans wake hivi hivi. Mwishowe ikawaje?! Sadam akakamatwa kwenye handaki kama kuku. The same will apply for this case.
 
Uyu ritizi kwenye kuitetea iran upo vizuri sana

Mimi sio mtu wa Geopolitics lakini daaah naona vile iran anaonewa

Lakini mkuu una moyo wa kizalendo kuitetea iran

Just imagine makamanda wakuu wanauwawa nchi mwao,just imagine

Aiseh udini ukiingia kichwani na akili upotea
 
Untitled (1).png
 
✊ Bango la heshima kwa mwandishi wa habari Shujaa Sahar Emami lawekwa katikati ya Tehran

📍 Katika barabara ya Valiasr, Tehran, bango limepandishwa kumuenzi Sahar Emami mwandishi wa habari wa IRIB aliyebaki hewani wakati wa mashambulizi ya mabomu ya Mzayuni dhidi ya kituo cha runinga cha kitaifa cha Iran.
 
Attachments

  • f11f85b7-554e-4060-b837-b8289f0531f1.jpeg
    f11f85b7-554e-4060-b837-b8289f0531f1.jpeg
    78.7 KB · Views: 19
Story za hapo kinondoni mkwajuni hizi, hakuna chochote. Hata Tariq Aziz enzi za Sadam Husein vs US mashirika wake UK aliwafariji nyie fans wake hivi hivi. Mwishowe ikawaje?! Sadam akakamatwa kwenye handaki kama kuku. The same will apply for this case.
Wewe Yahudi mweusi wa Uyole hauna unalojua😂😂

Waisrael wa Tel Aviv, Haifa wanajua moto wanaopelekewa

Hujui hata Trump karudi Marekani haraka kwa sababu gani.
 
Uyu ritizi kwenye kuitetea iran upo vizuri sana

Mimi sio mtu wa Geopolitics lakini daaah naona vile iran anaonewa

Lakini mkuu una moyo wa kizalendo kuitetea iran

Just imagine makamanda wakuu wanauwawa nchi mwao,just imagine

Aiseh udini ukiingia kichwani na akili upotea
Udini upo wapi hapo?

Yaani Iran kujilinda ndiyo udini nani kaanzisha vita kati ya Israel na Iran?

Usiwe punguani kila kitu unakiona kwenye picha ya udini.
 
Wewe Yahudi mweusi wa Uyole hauna unalojua😂😂

Waisrael wa Tel Aviv, Haifa wanajua moto wanaopelekewa

Hujui hata Trump karudi Marekani haraka kwa sababu gani.
🤣🤣🤣🤣🤣......wachaaaa.
 
😂😂😂

ISRAELI MILITARY SAYS DEFENSIVE SYSTEMS ARE ACTIVATED TO INTERCEPT ONGOING THREATS LAUNCHED FROM IRAN
 
THE ISRAELI MILITARY SAYS 30 MISSILES WERE LAUNCHED FROM IRAN EARLY ON TUESDAY INJURING SEVERAL PEOPLE
 
IRAN LAUNCHES UP TO 30 MISSILES TRIGGERING SIRENS ACROSS NORTH, CENTRAL AND SOUTHERN ISRAEL
Afu Iran kawanasa leo wanajeshi wa Iran tena wana vyeo ni Mageneral na pia wako mabrigadier pia, kakamata kiwanda cha silaha za drones na maboom walicho tengeneza wa Israel ndani ya Iran. Hawa walijipanga siku nyingi sana walitegemea Iran kwa siku mbili tatu wataimaliza wamefailed vibaya sana.

Plan za miaka karibu 20 ili kuondoa ufalme wa Ayatollah na kuivuruga Iran wamepoteza mabillions in the end Iran wamemshindwa, mpaa wajikusanye mataifa 12 kuangusha Missiles za Iran zikielekea Israel

View: https://youtu.be/Jj2RNEvCzVg?si=huarB4Ixbwcd2lWK
 
Ndiyo maana wamepanic sana Natenyahu alihojiwa na Fox News alisema mpango wao ni kuangusha serikali ya Iran.

Msome,
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

WASHINGTON, June 15 (Reuters) - Regime change in Iran could be a result of Israel's military attacks on the country, Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu told Fox News on Sunday, saying Israel would do whatever is necessary to remove the "existential threat" posed by Tehran.
Israel launched "Operation Rising Lion" with a surprise attack on Friday morning that wiped out the top echelon of Iran's military command and damaged its nuclear sites, and says the campaign will continue to escalate in coming days. Iran has vowed to "open the gates of hell" in retaliation.
The Reuters Daily Briefing newsletter provides all the news you need to start your day. Sign uphere.
 
Back
Top Bottom