Iran yaanza kujibu mashambulizi yarusha mamia ya drones kuelekekea Israel

Kiongozi unafikiri Iran ni Libya, subiri muone..
 
Upo sahihi kabisa. Iran kumbe ni dhaifu sana tofauti na tulivyokuwa tunaaminishwa.

Japo Israel haipo kama Israel bali Israel ni Marekani na lolote analolifanya Israel basi huyo ni Marekani
 
Anaanza kutuma vimulimuli tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…