Kwani hatukuijadili ile historia mkuu??Asante kwa taarifa
Ulisema unaenda kusoma historia kuhusu Egypt kuikalia Gaza kwa zaidi ya miaka 10, vipi hukuipata hiyo historia?
Mmmh sidhani embu nipe muda narudi tulijadili hili.Ulisema unaenda kujiridhisha ukaingia mitini
Niliipata Egypt ilianzisha utawala wa kijeshi Gaza 1949-1956,baada ya Suez canal Crisis kuisha Gaza ikakaliwa tena na Egypt kuanzia 1957-1967 ambapo ndipo ilitokea six days war ambayo Egypt aliporwa Sinai na hiyo Gaza kuangukia chini ya Israel administration.Ulisema unaenda kujiridhisha ukaingia mitini
Umetoa wapi kilomita 3000 plus ?? Maili 1200 hazifiki hata kilomita 2000yenye uwezo wa kutembea maili 1200 sawa na kilometa 3000+
Ungeleta marekebisho kuliko kuleta taarabu.Umetoa wapi kilomita 3000 plus ?? Maili 1200 hazifiki hata kilomita 2000
Hivi unadhani audience ya JF ni watu wa aina gani yani, na wako wapi wanafanya nini, tunapika komoni kijijini Minjingu?
Sijui mkuu.Nisaidie ni hiki
Kwanini Egypt iliamua kujenga ukuta mpaka wake na Gaza?
Unajua kwanini tunasema Israel ameifunga Gaza katika gereza la wazi???Ni swali ambalo unatakiwa kujiuliza wewe na wenzako ambao mnaamini wayahudi ndo wamewafungia Gaza kwenye Gereza wakati mnajisahaulisha kwamba hata Egypt naye amejenga ukuta tena imara zaidi kuliko wa wayahudi.
Dead wrong!1mile=0.6 kilometre.
Nikajua utaleta kitu cha maana still umekuja na blunder kuliko mimi.Dead wrong!
Maili ni KUBWA KULIKO kilomita
Kwa hiyo maili moja haiwezi kuwa 0.6km
Jiondolee stress kama hisabati zinakutatiza, waulize google!
View attachment 2944491
Itizame na hii pia.Dead wrong!
Maili ni KUBWA KULIKO kilomita
Kwa hiyo maili moja haiwezi kuwa 0.6km
Jiondolee stress kama hisabati zinakutatiza, waulize google!
View attachment 2944491
Wapi nimesema 1 mile ni kilomita 1000 ?1mile haiwezi ikawa sawa na 1000 kilometres umeingia chaka.
Sikusoma vizuri niwie radhi.Wapi nimesema 1 mile ni kilomita 1000 ?
Nimeingia chaka kivipi ?
Anatuona hatujui kumbe yeye ndo hajuiUmetoa wapi kilomita 3000 plus ?? Maili 1200 hazifiki hata kilomita 2000
Hivi unadhani audience ya JF ni watu wa aina gani yani, na wako wapi wanafanya nini, tunapika komoni kijijini Minjingu?
okay, haina shida, mapungufu ya kibinadamu, happens to the best of us. Sasa tunaweza kurudi kwenye mada.Sikusoma vizuri niwie radhi.
Nimesema waarabu watapata nafuu kwa silaha kwasababu Iran ni nchi inayotafuta influence middle east.okay, haina shida, mapungufu ya kibinadamu, happens to the best of us. Sasa tunaweza kurudi kwenye mada.
la kwanza, Iran sio Muarabu na hayumo kwenye Umoja wa Waarabu, na haongei Kiarabu, kwa hiyo Waarabu hawatakuwa na nafuu kwenye soko la silaha kwa sababu tu eti Iran kaingia
pili, umesema mwaka jana mwishoni vikwazo dhidi ya Iran viliisha na sasa anaweza kuuza silaha. Nili miss hiyo habari, naomba source nijiridhishe kabla sijakurupuka kuanza kukuchana! You've been warned!
Ushahidi huu hapa.okay, haina shida, mapungufu ya kibinadamu, happens to the best of us. Sasa tunaweza kurudi kwenye mada.