Iran yabadili gia angani kuwashughulikia moja kwa moja wahusika mauaji ya Haniyeh badala ya kuishambulia Israel

Sasa "gia" aliyobadilishwa angani ni ipi hapo?

Wamesema wazi toka mwanzo, kila aliyehusika atashughulikiwa. pia wamesema wazi kuwa Israel anachochea wengine wajiingize kwenye vita wakati yeye hawezi kupigana.

Hivi ni nini usichokielewa hapo?
 
Yale makundi ya wanadiplomasia wa Russia waliokuwa wanaenda Iran kwa mda wa wiki moja ndiyo walio pewa jukumu la kutuliza mambo...

Marekan na washirika wake waliwaomba Urus wakaongee na Iran wasitishe kisasi kwa Israel..

Sharti la Urus kukubali hlo deal ni Marekan na washirika wake wakubali kubadilishana wafungwa na Russia
 
Sasa "gia" aliyobadilishwa angani ni ipi hapo?

Wamesema wazi toka mwanzo, kila aliyehusika atashughulikiwa. pia wamesema wazi kuwa Israel anachochea wengine wajiingize kwenye vita wakati yeye hawezi kupigana.

Hivi ni nini usichokielewa hapo?
Hi mijinga sana mijitu ya kanisani.
 
Hamna lolote Iran lazima alipe tu ndio mana wanamuambia apige sehemu isiwadhuru Israel afu ofa walizo mpa ni kuondoa sunction, kusimamisha vita vya Gaza na mengine chini ya uvungu hasara zote za Hezbullah, Yemen, Palestine watalipa na juu ya hopo mnono wa billion atapewa. Je Iran atakubali??
 
Ushavimbiwa urojo hapa unahara tu.
Wenyewe wanakataa we muiran wa nangulukulu unataka ukapigane wewe?
 
Iran awape masharti? teh teh
 
Zamani ilikuwa jf ukiandika taarifa za uongo huo Uzi wako unafutwa lakini sasa hv Moderator km wameisusa jf mtu anaweza kukaa akajitungia habari akaiweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…