Iran yafanya sherehe, wadai kusitisha mashambulizi kwa muda ni ushindi mkubwa kwa utawala wa taifa hilo

Iran yafanya sherehe, wadai kusitisha mashambulizi kwa muda ni ushindi mkubwa kwa utawala wa taifa hilo

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Serikali ya Iran na vyombo vya habari vya taifa hilo, vinasema kuwa makubaliano ya kusitisha mashambulizi kwa muda ni ushindi mkubwa kwa utawala wa taifa hilo.

1775635410142.png
Katika taarifa iliyotolewa na Baraza Kuu la Usalama wa Taifa, Iran imesema imeyafikia karibu malengo yake yote ya vita hivyo na kuwa adui wake amepata pigo la kihistoria.

1775635421960.png
Ikumbukwe kwamba vita hivyo vilianza na kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa taifa hilo Ali Khamenei na viongozi wengine wakuu wakijeshi na hii ilikuwa tishio kubwa kwa utawala wa Iran.

Iran inajiona mshindi kwa kuweza kustahimili vita vilivyoanzishwa na Israel na Marekani kwa zaidi ya siku 30.

1775635434020.png


=============== For English Audience ==================​

Iraqis celebrates US-Iran ceasefire as two-week halt in war begins​

Celebrations have erupted in Iraq’s capital, Baghdad, following the announcement of a two-week ceasefire between Iran and the United States. Iraq had been pulled into the war with pro-Iran armed groups and US forces carrying out attacks on each other.

SOURCE: ALJAZEERA
 
Wanastahili. Ingekuwa ka nchi Fulani ambako haieleweki hasa viwanda vikubwa ni vingapi na vinamchango Gani kwa taifa kangeshundwa hata kulipa mishahaara
 
Wananchi wa Iran wanashangilia kwamba angalau sasa wataweza angalau kulala hata kidogo kwani kwenye mji mkuu wa Tehran watu wamebaki wachache sana baada ya wengi kukimbia milipuko ya kila siku.
 
Wananchi wa Iran wanashangilia kwamba angalau sasa wataweza angalau kulala hata kidogo kw
Wananchi wa Iran wanashangilia kwamba angalau sasa wataweza angalau kulala hata kidogo kwani kwenye mji mkuu wa Tehran watu wamebaki wachache sana baada ya wengi kukimbia milipuko ya kila siku.

ani kwenye mji mkuu wa Tehran watu wamebaki wachache sana baada ya wengi kukimbia milipuko ya kila siku.
tel Aviv vipi walikuwa wanalala kwa amani?
 
Wananchi wa Iran wanashangilia kwamba angalau sasa wataweza angalau kulala hata kidogo kwani kwenye mji mkuu wa Tehran watu wamebaki wachache sana baada ya wengi kukimbia milipuko ya kila siku.
Wananchi wa Iran, Israel, Saudi Arabia, Iraq, Qatar, UAE, Jordan, Kuwait, Bahrain wote walikuwa vitani.
Kusitisha vita hivyo ni furaha kwa wote.
 
Iran Taifa la Ki staarabu kwa kuomba wimbo Death to America Death to Israel? hahahaha

Iran anatakiwa aishi kama nchi nyingine zilivyo kama navyowashauri kila siku.

wewe una utawala wako fresh unaanza kutaka kuangamiza Taifa lingine, always walichopanda ndio wamevuna Israel haiishi kirahisi vile
 
Back
Top Bottom