Iran yafunga tena Mfereji wa Hormuz, yaituhumu Marekani kwa “uharamia baharini”

Iran yafunga tena Mfereji wa Hormuz, yaituhumu Marekani kwa “uharamia baharini”

JaxenDL

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2022
Posts
1,118
Reaction score
2,581
Hali ya sintofahamu imeongezeka katika Mlango-Bahari wa Hormuz baada ya Iran kutangaza kuwa imerudisha udhibiti wake katika njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani.

Tangazo hilo limetolewa na jeshi la Iran kupitia amri yake ya operesheni, Khatam Al-Anbiya. Katika taarifa hiyo, Iran imesema hatua ya Marekani ya kuzuia bandari zao ni kitendo cha "uharamia."

Kwa sababu hiyo, Iran imesisitiza kuwa njia hiyo ya maji sasa iko chini ya usimamizi wao mkali. Jeshi hilo limesema hali hiyo ya udhibiti itadumu hadi hapo Marekani itakapoondoa vikwazo na kuruhusu meli za Iran kusafiri kwa uhuru.

d816f6fd-a08b-40f0-a645-61ced1c8c46d.png.webp

Mkanganyiko wa kauli

Tangazo hili linakuja kufuatia mkanganyiko mkubwa uliotokea jana. Wakati Iran na Rais wa Marekani, Donald Trump, walionyesha ishara kuwa mlango huo umefunguliwa, Trump alisisitiza kuwa kizuizi cha Marekani dhidi ya Iran "kitaendelea kuwepo kikamilifu."

===================

Iran announced control of the strait of Hormuz has “reverted to its previous state” over the continuing row with the US over its naval blockade of Iranian ports.

In a statement carried by Iranian media, the Iranian military’s operational command, Khatam Al-Anbiya, described the ongoing US blockade as “piracy”, saying: “For this reason, control of the strait of Hormuz has reverted to its previous state, and this strategic waterway is under the strict management and control of the armed forces.

“Until the US restores the complete freedom of navigation for vessels from an Iranian origin to a destination, and from a destination back to Iran, the situation in the strait of Hormuz will remain strictly controlled and in its previous state.”

This adds to the confusion over the status of the key waterway that carried a fifth of global oil supplies before the war. Yesterday Iran and Donald Trump announced the strait had reopened to shipping, but the US president said the US blockade “will remain in full force” until Tehran reaches a deal with Washington, including over its nuclear programme.

Source: The Guardian
 
Minaona wapigane tu ili mshindi apatikane na dunia ipate utulivu.
Maana huku Ibologelo Igunga tushazowea bei mpa ya mafuta ilipopanda.
 
Kete pekee ya Iran Kupata matokeo chanya kwenye Mzozo baina yake Na Amerika Ni Straight of Hormuz.
Unadhani kama Irani ingekua haina power kijeshi hio hormuz wangeweza kuidhibiti hata kwa masaa matatu au siku moja
Ishu nikwamba marekani hana nguvu ya kuishurutisha iran labda atumie nyuklia
Kuna viongozi wa ulaya hua munawaona kama waoga ila hua wanaongea uhalisia na ukweli wa majambo ingawaje mchungu
 
Iran hawana akili sio muda wanaenda kudondoka kabisa. Huwezi shindana na wafanya biashara.
Wafanya bisha hawana lolote mbele
Ya Serekali yoyote duniani, hata Makufuli tu aliwahikisha adabu hapa sembuse Iran, Mrekani Mwenyewe na Israeli wamekalishwa.
 
Kete pekee ya Iran Kupata matokeo chanya kwenye Mzozo baina yake Na Amerika Ni Straight of Hormuz.
Na kete pekee ya Marekani na Israel kushambulia Iran ni kutumia ardhi za nchi za kiarabu kama Saudia, Kuwait, Bahrain nk.

Hawana uwezo wa Iran ambapo mtu katulia chumbani kwake lkn anasababisha maafa makubwa nchini Israel kupitia drone na makombora yasiozuilika.
 
Iran hawana akili sio muda wanaenda kudondoka kabisa. Huwezi shindana na wafanya biashara.
Tokea mwaka 1979 munaimba hizi ngonjera
Ila Irani akipita hiki kipindi mutampa wenyewe kuraa ya veto pale UNSC awatie adabu maana hamuna
 
Tukisema kwamba super power wa mchongo kafika kikomo kuna watu wanapiga kelele
Drones za ballistic missile zimeleta heshima
We subiri muda sio mrefu Iran watatoboa tumbo hilo
 

Attachments

  • IMG-20260418-WA0007.jpg
    IMG-20260418-WA0007.jpg
    63.3 KB · Views: 40
Back
Top Bottom