strait of hormuz

The Strait of Hormuz ( Persian: تنگهٔ هُرمُز, romanized: Tangeh-ye Hormoz , Arabic: مَضيق هُرمُز, romanized: Maḍīq Hurmuz) is a strait between the Persian Gulf and the Gulf of Oman. It provides the only sea passage from the Persian Gulf to the open ocean and is one of the world's most strategically important choke points. It has been so for centuries, with vast hinterlands rich in luxury trade goods, but no easy access to lucrative trading ports. In his memoirs, Babur, the first padishah of the Mughal Empire, recounted how almonds had to be carried from the distant Ferghana region in Central Asia to Hormuz to reach markets.
On the north coast lies Iran, and on the south coast lies the Musandam Peninsula, shared by the United Arab Emirates and the Musandam Governorate, an exclave of Oman. The strait is about 104 miles (90 nmi; 167 km) long, with a width varying from about 60 mi (52 nmi; 97 km) to 24 mi (21 nmi; 39 km).
During 2023–2025, 20% of the world's liquefied natural gas and 25% of seaborne oil trade passed through the strait annually. The strait had never been closed for extended time during Middle East conflicts (unlike the Straits of Tiran/Bab-el-Mandeb) though Iran occasionally had threatened to close the strait, and preparations to mine it have been undertaken.
On 28 February 2026, Iran's Revolutionary Guards began issuing VHF transmissions stating that ship passages through the Strait of Hormuz were "not allowed", amid the 2026 Israeli–United States strikes on Iran, including the assassination of Iran's leader.

View More On Wikipedia.org
  1. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Meli ya pili ya Kontena yalipuliwa katika mfereji wa Strait of Hormuz

    Meli ya container Mv GFS Pride imezama kwenye mfereji wa Strait of Hormuz baada ya kupita sehemu yenye mabomu na jeshi la wana mgambo wa Iran walitoa taadhari meli isipite ikakaidi na kupigwa kombora. Hakuna taarifa yoyote ya uokoaji wala hali ya wafanyakazi meli. Meli hii ina usajili wa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hormuz yabana dunia, bei ya mafuta yazidi kuwa juu

    Mgogoro wa Mashariki ya Kati umeifanya dunia kuendelea kuonja joto la jiwe, baada ya bei ya mafuta ghafi aina ya Brent kuendelea kuwa juu tangu Agosti, kutoka wastani wa dola 91 kwa pipa mwezi huo hadi kuvuka dola 100 Septemba na kuendelea kuzunguka kiwango hicho mwanzoni mwa Oktoba, hali...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Syria yaanza mikakati ya kujiondoa Strait of Hormuz taratibu

    Syria inapendekeza kujiwekea njia ya kimkakati ya nishati ya ardhini inayounganisha Iraq na Ghuba na Mediterania, ikitoa njia mbadala ya usafirishaji ambayo ingepunguza utegemezi wa Mlango-Bahari wa Hormuz. Kitovu cha mpango huo ni ufufuaji wa njia ya mafuta kati ya Iraq na Syria kuelekea...
  4. Ritz

    JamiiForums Tanzania Trump, kavurugwa kuhusu Hormuz, hataki tozo wakati mkataba unasema baada ya siku 60 kupita Hormuz lazima ulipe tozo.

    Wanaukumbi. Rais Trump anasema jaribio lolote la kutoza ada za usafiri kwa meli zinazopita kwenye Mlango-Bahari wa Hormuz "halitakubalika" na linaweza kuhatarisha mazungumzo yanayoendelea na Iran. Trump pia alisema kwamba Tehran imeihakikishia Washington kuwa haitaki kutoza ushuru kwa njia ya...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa Mashariki ya Kati: Marekani yaishambulia upya Iran, na Iran yajibu mapigo!

    Hali si shwari kabisa huko Mashariki ya Kati, hususan kwenye mvutano kati ya Marekani, Israel, na Iran. Kwa wale ambao wamekuwa wakifuatilia, huenda mnajua kuwa kulikuwa na usitishaji vita (ceasefire) wa muda kuanzia mwezi Aprili, lakini mambo yamebadilika ghafla. Usiku huu, mambo haya...
  6. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Strait of Hormuz ya Afrika Mashariki ni Tanzania

    Tanzania inaweza kuhusishwa na mfano wa Strait of Hormuz kwa sababu ya umuhimu wake wa kiuchumi na kijeshi kama njia kuu ya usafirishaji wa mafuta na bidhaa nyingine muhimu. Strait of Hormuz ni ghuba nyembamba inayounganisha Bahari ya Hormuz na Ghuba ya Uajemi, na ni muhimu kwa usafiri wa...
  7. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Iran yafunga tena Mfereji wa Hormuz, yaituhumu Marekani kwa “uharamia baharini”

    Hali ya sintofahamu imeongezeka katika Mlango-Bahari wa Hormuz baada ya Iran kutangaza kuwa imerudisha udhibiti wake katika njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani. Tangazo hilo limetolewa na jeshi la Iran kupitia amri yake ya operesheni, Khatam Al-Anbiya. Katika taarifa hiyo, Iran...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Baadaya Trump kuwasaidia Iran kufunga njia, Marekani ndie msambazaji mkubwa wa mafuta duniani, Hakuna tozo ya kuingia wala hofu ya kulipuliwa na Iran

    https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116384077225474834 Trump ameichapisha mwenyewe. Ramani inaonyesha wazi. Meli kubwa za mafuta Supertanker tupu (VLCC), kila moja ikiwa na uwezo wa kubeba mapipa milioni 2 ya mafuta, sasa hivi zinakimbilia Pwani ya Ghuba ya Marekani. Hormuz...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Not only did Trump lose control of the Strait of Hormuz, he is also going to pay Iran $6 BILLION

    Not only did Trump lose control of the Strait of Hormuz, he is also going to pay Iran $6 BILLION
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Meli zimeanza kupita kwenye mfereji wa Hormuz. Ule mkwara umesaidia

    Shkurani sana Iran kwa kuitikia shurti ya Trump, kwa kweli hata sisi pro-Israel jameni mioyo ingetuuma kuona wananchi wa Iran wanafanyiwa kile ambacho Trump alikua ametishia kufanya. =========================== A Greek-owned bulk carrier and a Liberian-flagged vessel seem to be the first ships...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Trump asitisha shambulio zito dhidi ya Iran dakika za mwisho! Vita kusitishwa kwa Wiki mbili. Nini kinaendelea na nani Mshindi?

    Kwa wale ambao wamekuwa wakifuatilia habari za kimataifa usiku wa kuamkia leo, mtakubaliana nami kwamba dunia ilikuwa ukingoni mwa Vita vya Tatu vya Dunia (WW3). Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali kama Al Jazeera, The Guardian na mashirika mengine makubwa, hali ilikuwa tete sana kati ya Marekani...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Dunia Iko Katika Hatari ya Nishati: Wataalamu wa Mafuta Washauri Kujengwe Bomba la Mafuta linalopitia Nchi Kavu Kuikwepa Strait of Hormuz

    Wakati mvutano wa kisiasa na kijeshi ukiendelea kuongezeka katika eneo la Strait of Hormuz, Wataalamu wa sekta ya mafuta anaonya kuwa dunia inaweza kukabiliwa na msukosuko mkubwa wa nishati iwapo njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta itavurugika. Kutokana na changamoto hizo, wataalamu...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rasmi; Iran yafunga mfereji wa Hormuz kusafirisha mafuta kwa meli za Marekani, Israel, Ulaya na washirika wao

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Iran (IRGC) limetangaza kufunga mfereji maarufu wa Harmuz (Strait of Hormuz) ambao ni maalum kwa kupitisha meli za mafuta kwa meli zinazotoka Marekani, Israel na nchi za Ulaya pamoja na washirika wao. Kwenye taarifa hiyo, Iran imedokeza kuwa ina haki ya...
Back
Top Bottom