Meli zimeanza kupita kwenye mfereji wa Hormuz. Ule mkwara umesaidia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Shkurani sana Iran kwa kuitikia shurti ya Trump, kwa kweli hata sisi pro-Israel jameni mioyo ingetuuma kuona wananchi wa Iran wanafanyiwa kile ambacho Trump alikua ametishia kufanya.
===========================

A Greek-owned bulk carrier and a Liberian-flagged vessel seem to be the first ships through the Hormuz Strait since Wednesday's ceasefire, part of a fragile two-week truce.

Two ships have become the first to transit the Strait of Hormuz since the United States and Iran agreed an overnight ceasefire, according to maritime monitor MarineTraffic.

The Greek-owned bulk carrier NJ Earth crossed the strait at 10:44 am CET, while the Liberia-flagged Daytona Beach transited earlier at 8:59 am CET, after departing the Iranian port of Bandar Abbas a bit over an hour earlier at 7:28 am CET.

The passages mark the first confirmed transits under what are likely the new terms of the truce affecting the world's most critical energy chokepoint.

Iran's Foreign Minister Abbas Araghchi said ships would be permitted safe passage through the strait for a two-week period "via coordination with Iran's armed forces and with due consideration of technical limitations".

Source: Euro News
 
Mkwara au mapendekezo ya iran ndio yamekubaliwa badala ya mapendekezo ya kifedhuli ya USA..

Angeyakataa mapendekezo ya iran tungeona mkwara umesaidia.

Aliyejishusha hapo ni nani sasa?

Hehehe ndio kete mnayokuja nayo sasa, nakumbuka mlisema hamfungui hata iweje, ni vita kwa kwenda mbele, mkapewa masaa 48, mkatuma wananchi wajazane kwenye hayo maeneo yaliyokusudiwa kupigwa, hatimaye mkafungua mlango wa bahari, mapendekezo ya kitu gani ilhali mumefutiwa viongozi wote, nchi imesambaratishwa, hamna kambi ya jeshi imeachwa salama leo mnasema mapendekezo.....
 
Shkurani sana Iran kwa kuitikia shurti ya Trump, kwa kweli hata sisi pro-Israel jameni mioyo ingetuuma kuona wananchi wa Iran wanafanyiwa kile ambacho Trump alikua ametishia kufanya.
===========================

Two ships have passed through the Strait of Hormuz since Iran agreed to reopen the waterway as part of a ceasefire deal, maritime monitor Marine Traffic says.

“The Greek-owned bulk carrier NJ Earth crossed the Strait at 08:44 UTC, while the Liberia-flagged Daytona Beach transited earlier at 06:59 UTC, shortly after departing Bandar Abbas at 05:28 UTC,” MarineTraffic says on X.
Homonz bado ipo chini ya Iran, mapendekezo yote 10 ni faida kwa Iran plus kichapo alichotoa marekani, uyahudini na hao waarabu wanaojipendekeza kwa mabeberu
 
Mkwara au mapendekezo ya iran ndio yamekubaliwa badala ya mapendekezo ya kifedhuli ya USA..

Angeyakataa mapendekezo ya iran tungeona mkwara umesaidia..mbona wiki nyuma aliyakataa hayo mapendekezo ya iran na saizi ameyakubali..

Aliyejishusha hapo ni nani sasa?
Makobasi hajawai kuwa na akili mmengebaki na majivuvuu tuuu
 
Homonz bado ipo chini ya Iran, mapendekezo yote 10 ni faida kwa Iran plus kichapo alichotoa marekani, uyahudini na hao waarabu wanaojipendekeza kwa mabeberu
Yes, kuna Tehran TollBooth kila meli yalipa milioni 2 ili iruhusiwe kupita na IRGc ndo wadhibiti wakuu.

Zipo meli zenye ruhusa na hazitozwi ushuru huo kwa mikataba maalum. Lakini meli zote ziendazo nchi za Magharibi na Marekani au Canada zote kulipa ni lazima na ukigoma meli yazamishwa.

Ni kama vile " Protocol" ambayo Iran yataka iambuliwe rasmi kuwa ndo njia ya kwenda mbele na itakuwa ikishirikiana na Oman kutekeleza hilo.

Hii ni "very important point" kwamba Iran yatafuta pesa ya kufanya "reconstruction" kujenga upya miundombinu iloharibiwa kihalali kabisa badala ya Marekani ambayo yachangisha pesa kuijenga upya Gaza.
 
Hehehe ndio kete mnayokuja nayo sasa, nakumbuka mlisema hamfungui hata iweje, ni vita kwa kwenda mbele, mkapewa masaa 48, mkatuma wananchi wajazane kwenye hayo maeneo yaliyokusudiwa kupigwa, hatimaye mkafungua mlango wa bahari, mapendekezo ya kitu gani ilhali mumefutiwa viongozi wote, nchi imesambaratishwa, hamna kambi ya jeshi imeachwa salama leo mnasema mapendekezo.....
Kama viongozi hakuna hao wanaotaka kufanya nao mazungumzo ni nani ?wanafunzi

Lengo la kufuta utawala imeshindikana bado islamic republican walewale ndio
wanaendesha nchi..hard liners

Mbona kila uchwao rundo la mashambulizi yanaelekea nchi zaidi ya 5 kama mmeharibu makambi ya j3shi..mbona ripoti ya pentagon inasema iran bado ina significant military capabilities??

Mbona mmeshindwa kuufungua mlangonwa Hormus kijeshi?

Na vipi kuhusu enriched uranium?

Military solution imefeli sasa wamekimbilia kwenye diplomatic solution

Nb:Hii vita imeonyesha Iran ana nyenzo muhimu ya kushika na kuharibu energy ya dunia..usa imetambulisha dunia kuwa iran ana uwezo wa kushikilia na kufanya anavyotaka kuhusiana na energy ya dunia...silaha nyingine ya iran ukiachilia mbali ma ballistic missiles
 
Homonz bado ipo chini ya Iran, mapendekezo yote 10 ni faida kwa Iran plus kichapo alichotoa marekani, uyahudini na hao waarabu wanaojipendekeza kwa mabeberu

Yaani Iran kwa namna imesambaratishwa, meli zote zimeliwa, mindege hawajaachiwa hata moja, kambi za kijeshi zimebaki mashamba, viongozi wamefutwa wote halafu bado mnaongea kuhusu mapendekezo, mlisema hamfungui, sasa wananchi mliwatuma wafanye nini kwenye maeneo ya umeme, pangepigwa mrudishwe enzi mtume huko...
 
Shkurani sana Iran kwa kuitikia shurti ya Trump, kwa kweli hata sisi pro-Israel jameni mioyo ingetuuma kuona wananchi wa Iran wanafanyiwa kile ambacho Trump alikua ametishia kufanya.
===========================

Two ships have passed through the Strait of Hormuz since Iran agreed to reopen the waterway as part of a ceasefire deal, maritime monitor Marine Traffic says.

“The Greek-owned bulk carrier NJ Earth crossed the Strait at 08:44 UTC, while the Liberia-flagged Daytona Beach transited earlier at 06:59 UTC, shortly after departing Bandar Abbas at 05:28 UTC,” MarineTraffic says on X.
Wakiristo wa jf mtapanda presha bure. Uislam utatawala dunia
 
Kama viongozi hakuna hao wanaotaka kufanya nao mazungumzo ni nani ?wanafunzi

Lengo la kufuta utawala imeshindikana bado islamic republican walewale ndio wanaendesha nchi..hard liners

Mbona kila uchwao rundo la mashambulizi yanaelekea nchi zaidi ya 5 kama mmeharibu makambi ya j3shi..mbona rioting ya pentagon inasema iran bado ina significant military capabilities??

Mbona mmeshindwa kuufungua mlangonwa Hormus kijeshi?

Na vipi kuhusu enriched uranium?

Military solution imefeli sasa wamekimbilia kwenye diplomatic solution

Lengo lilikua kuirudisha nyuma Iran zaidi ya miaka 50 na limetimia, hapajaachwa hata meli moja ya kivita, kambi zote za kijeshi zimefanywa mashamba, ndege zote zimeliwa, madaraja amepigwa, yaani nikianza kuandika kilichofanywa kwa Iran nitajaza server ya watu bure.
Nyie mumefaulu kupiga apartments za wananchi.
 
Kama viongozi hakuna hao wanaotaka kufanya nao mazungumzo ni nani ?wanafunzi

Lengo la kufuta utawala imeshindikana bado islamic republican walewale ndio wanaendesha nchi..hard liners

Mbona kila uchwao rundo la mashambulizi yanaelekea nchi zaidi ya 5 kama mmeharibu makambi ya j3shi..mbona rioting ya pentagon inasema iran bado ina significant military capabilities??

Mbona mmeshindwa kuufungua mlangonwa Hormus kijeshi?

Na vipi kuhusu enriched uranium?

Military solution imefeli sasa wamekimbilia kwenye diplomatic solution
Hawajakimbilia kwenye diplomatic solution kwani ilikuwepo hata kabla ya vita kuanza. Marekani ilishinikizwa na Israeli kufanya mashambulizi bila kujidhihirsha uwezo wa Iran kujibu mashambulizi.

Taarifa za kijasusi zaendelea kudai uwa nchi rafiki za Iran bado zipo nyuma yake kwa kila hali na ni wao ndo wanofanya "settings" za mitambo ambayo imeweza kudondosha ndege na chopa kadhaa za Marekani na pia Iran ina mitambo ya siri ya kujilinda na pia ina mitambo bado ya kuweza kurusha makombora ya masafa marefu.

Kumbuka nchi hizo mojawapo ni Korea Kaskazini na wao wamekuwa wakiendelea kufanya majaribio hadi wakati huu, kupima uwezo wao.
 
Yaani Iran kwa namna imesambaratishwa, meli zote zimeliwa, mindege hawajaachiwa hata moja, kambi za kijeshi zimebaki mashamba, viongozi wamefutwa wote halafu bado mnaongea kuhusu mapendekezo, mlisema hamfungui, sasa wananchi mliwatuma wafanye nini kwenye maeneo ya umeme, pangepigwa mrudishwe enzi mtume huko...
With all due respect Mkuu, you are missing the point.

Hii ceasefire yampa Trump nafasi ya kujichomoa kwenye vita lakini kwa gharama kubwa sana.

That's the point.
 
Mkwara au mapendekezo ya iran ndio yamekubaliwa badala ya mapendekezo ya kifedhuli ya USA..

Angeyakataa mapendekezo ya iran tungeona mkwara umesaidia..mbona wiki nyuma aliyakataa hayo mapendekezo ya iran na saizi ameyakubali..

Aliyejishusha hapo ni nani sasa?

Ni shida ya lugha, ujinga au kujitoa ufahamu?
Hakuna sharti lolote ambalo Iran imetoa kuhusiana na mkondo wa Hormuz.

Mapendekezo 10, siyo masharti, yaliyotolewa na Iran, ni kuhusiana na majadiliano ya kumaliza vita. Kuna mapendekezo 15 ya Trump, 10 ya Iran, na 7 ya wasuluhishi. Hayo ni basis ya majadiliano yanayoanza Ijumaa.
 
Shkurani sana Iran kwa kuitikia shurti ya Trump, kwa kweli hata sisi pro-Israel jameni mioyo ingetuuma kuona wananchi wa Iran wanafanyiwa kile ambacho Trump alikua ametishia kufanya.
===========================

Two ships have passed through the Strait of Hormuz since Iran agreed to reopen the waterway as part of a ceasefire deal, maritime monitor Marine Traffic says.

“The Greek-owned bulk carrier NJ Earth crossed the Strait at 08:44 UTC, while the Liberia-flagged Daytona Beach transited earlier at 06:59 UTC, shortly after departing Bandar Abbas at 05:28 UTC,” MarineTraffic says on X.
Homonz bado ipo chini ya Iran, mapendekezo yote 10 ni faida kwa Iran plus kichapo alichotoa marekani, uyahudini na hao waarabu wanaojipendekeza kwa mabeberu
Yaani Iran kwa namna imesambaratishwa, meli zote zimeliwa, mindege hawajaachiwa hata moja, kambi za kijeshi zimebaki mashamba, viongozi wamefutwa wote halafu bado mnaongea kuhusu mapendekezo, mlisema hamfungui, sasa wananchi mliwatuma wafanye nini kwenye maeneo ya umeme, pangepigwa mrudishwe enzi mtume huko...
Kama ni hivyo na vipi kuhusu regime change
 
Back
Top Bottom