Meli zimeanza kupita kwenye mfereji wa Hormuz. Ule mkwara umesaidia

Meli zimeanza kupita kwenye mfereji wa Hormuz. Ule mkwara umesaidia

Yes, kuna Tehran TollBooth kila meli yalipa milioni 2 ili iruhusiwe kupita na IRGc ndo wadhibiti wakuu.

Zipo meli zenye ruhusa na hazitozwi ushuru huo kwa mikataba maalum. Lakini meli zote ziendazo nchi za Magharibi na Marekani au Canada zote kulipa ni lazima na ukigoma meli yazamishwa.

Ni kama vile " Protocol" ambayo Iran yataka iambuliwe rasmi kuwa ndo njia ya kwenda mbele na itakuwa ikishirikiana na Oman kutekeleza hilo.

Hii ni "very important point" kwamba Iran yatafuta pesa ya kufanya "reconstruction" kujenga upya miundombinu iloharibiwa kihalali kabisa badala ya Marekani ambayo yachangisha pesa kuijenga upya Gaza.
Zimezamishwa ngapi mpaka sasa?
 
Wakiristo wa jf mtapanda presha bure. Uislam utatawala dunia
Sio kwa ilimu ya madrasa,wakimbizi wa kisomali na kobazi wengine walipofika Europe na US walikuwa na akili tope kama yako wakasema tutawala kwa kuzaana sana 😁, wakasahau kusoma na kufuata sheria, sasa ni generational disaster, poverty, drugs, theft etc, nenda Ohio or Minneapolis you will see
 
Wakiristo wa jf mtapanda presha bure. Uislam utatawala dunia

hahah halafu wewe abdi utafaidika nini na islam ''ikitawala dunia'' ? last time nilicheki walivyotawaka east afrika abdi wote walikuwa watumwa na waliuzwa bagamoyo, zanzibar mpaka kismayu, hivi leo abdi wanauzwa sudani, maurtania, mali mpaka libya karne ya 21 ...
 
hahah halafu wewe abdi utafaidika nini na islam ''ikitawala dunia'' ? last nilicheki walivyotawaka east afrika abdi wote walikuwa watumwa na waliuzwa bagamoyo, zanzibar mpaka kismayu, hivi leo abdi wanauzwa sudani, maurtania, mali mpaka libya karne ya 21 ...
Kanisa ndio lilofanya biashara hio
 
Yaani Iran kwa namna imesambaratishwa, meli zote zimeliwa, mindege hawajaachiwa hata moja, kambi za kijeshi zimebaki mashamba, viongozi wamefutwa wote halafu bado mnaongea kuhusu mapendekezo, mlisema hamfungui, sasa wananchi mliwatuma wafanye nini kwenye maeneo ya umeme, pangepigwa mrudishwe enzi mtume huko...
Na hapo US anasema ametumia asilimia 10 tu ya uwezo wake
Angeongeza kutumia asilimia 40 sijui hali ingekuwaje,yangerudi yale ya hiroshima
 
Wayahudi weusi kitoka maeneo mbalimbali Uyole, Kwimba. Makete, Ngudu, Kishimundu, Mvumero, Mahina, Nyambiti, Mkendo, naona wanajifariji😂
Hongereni asee na nyie naona mwendo wa kushangilia ushindi kwa kukata mauno.

adriz de mbusii
 
Zimezamishwa ngapi mpaka sasa?
Hakuna meli ilozamishwa hadi sasa kwasbabu zote zina-coply na zimelipa dolari milioni 2 kwa kila meli.

Tozo yaenda Iran na baadae igawagawia wenzie Oman.

Tujairbu kuelewa kuwa Iran yataka kwenye mfereji kuwe na Transit Protocol ili ipate fwedha za kujikimu na kufanya "reconstruction".
 
Hivi hata kabla ya vita,meli ilikuwa inalipia huo ushuru?
 
Hivi hata kabla ya vita,meli ilikuwa inalipia huo ushuru?
Tozo haikuwepona hii Tollbooth haikuwepo.

Hiyo ilikuwa ni kwasababu meli zlilikuwa zapitia sehemu kubwa ya maji ya Oman.

Iran imejadiliana na Oman na sasa imeweka hii tollbooth (tangia wiki tatu zilopita) ili kwanza kuangalia meli zote zitazopita hapo (kisiwa cha Larak na kisiwa cha Hormuz) na kutoza ushuru wa dola milioni 2 kwa kila meli na pili kuzikagua kabla ya kuzuruhusu kuendelea na safari kwani meli nyingine zaweza kuwa ni disguise kwa kushambulia kambi za IRGC zilizoko kwenye visiwa hivyo vya Hormuz na Larak.

Hii tollbooth Iran imeweka ili iwe ni chanzo cha mapato kwa kusema ni "transit fee".
 
Maana yake ni kwamba hyo toll fee itakuwa ni ya kudumu hata baada ya makubaliano ya kusitisha vita kukamilika?
 
Meli zilizoachiliwa ni kama 5% ya meli zote, zaidi ya meli 800 bado zimestuck.
 
Kila vessel inayopita hormuz ni lazima ilipie charge fee kwa Yuan na sio kwa dollar, ceasefire btn two weeks only etc alafu kuna mbususu hapa inasema Iran kasalimu amri kwa Trump!Pathetic
 
Back
Top Bottom