Meli zimeanza kupita kwenye mfereji wa Hormuz. Ule mkwara umesaidia

Meli zimeanza kupita kwenye mfereji wa Hormuz. Ule mkwara umesaidia

Mkwara au mapendekezo ya iran ndio yamekubaliwa badala ya mapendekezo ya kifedhuli ya USA..

Angeyakataa mapendekezo ya iran tungeona mkwara umesaidia..mbona wiki nyuma aliyakataa hayo mapendekezo ya iran na saizi ameyakubali..

Aliyejishusha hapo ni nani sasa?
Hakuna makubaliano kwanza Iran ilikataa kuzungumza na marekan kabisa wakasema Hormuz haitafunguliwa walivyoambiwa watachakaa ndo dakika zajioni wakakubal kufungua we unaleta tena porojo et masharti
 
Kila vessel inayopita hormuz ni lazima ilipie charge fee kwa Yuan na sio kwa dollar, ceasefire btn two weeks only etc alafu kuna mbususu hapa inasema Iran kasalimu amri kwa Trump!Pathetic
Iran ilishakataa mazungumzo yoyote namarekan nawakasema Hormuz haitafunguliwa waliposikia masaa yanazid kuisha total destruction inakuja ndo wakamua kufungua wenyewe af unaleta tena longolongo oooh iran ndo imeweka masharti
 
Uliza wenzako Iran amekubali kufungua Hormuz kwa masharti au kaufyata?
 
Raha kwanba muislam akifa peponi kafiri kama wewe ukifa motoni

Huwa mnadanganywa eti Muislamu akifa huwa anakwenda kucheza porn movie na mabikira 72 huku Allah wenu akitazama movies za ngono kote, ni ujuha sana huo.
 
Na hapo US anasema ametumia asilimia 10 tu ya uwezo wake
Angeongeza kutumia asilimia 40 sijui hali ingekuwaje,yangerudi yale ya hiroshima
10% ni nyingi sana ukilinganisha na nguvu alizotumia Iran ya 2.5%
 
Lengo lilikua kuirudisha nyuma Iran zaidi ya miaka 50 na limetimia, hapajaachwa hata meli moja ya kivita, kambi zote za kijeshi zimefanywa mashamba, ndege zote zimeliwa, madaraja amepigwa, yaani nikianza kuandika kilichofanywa kwa Iran nitajaza server ya watu bure.
Nyie mumefaulu kupiga apartments za wananchi.
Mnaposema ndege meli sijui jeshi lote limesambarayishwa huwa mnatumia ubongo au kifaa gani cha mwili kufikiri? 😁
 
Yes, kuna Tehran TollBooth kila meli yalipa milioni 2 ili iruhusiwe kupita na IRGc ndo wadhibiti wakuu.

Zipo meli zenye ruhusa na hazitozwi ushuru huo kwa mikataba maalum. Lakini meli zote ziendazo nchi za Magharibi na Marekani au Canada zote kulipa ni lazima na ukigoma meli yazamishwa.

Ni kama vile " Protocol" ambayo Iran yataka iambuliwe rasmi kuwa ndo njia ya kwenda mbele na itakuwa ikishirikiana na Oman kutekeleza hilo.

Hii ni "very important point" kwamba Iran yatafuta pesa ya kufanya "reconstruction" kujenga upya miundombinu iloharibiwa kihalali kabisa badala ya Marekani ambayo yachangisha pesa kuijenga upya Gaza.
acha kuandika kikobazi, ni meli za kimagharibi na kimarekani tu zilikuwa haziruhusiwi? Mbona bei ya mafuta Tanzania imepanda?
 
Na hapo US anasema ametumia asilimia 10 tu ya uwezo wake
Angeongeza kutumia asilimia 40 sijui hali ingekuwaje,yangerudi yale ya hiroshima
na kama iran ina uwezo kijeshi kwa nini inapiga kambi za kijeshi zilizo katika mataifa jirani tu? Si kama mwanaume kama US, si aelekeze mashambulizi moja kwa moja US? wakubwa wote wameuliwa,miundombinu, na vitu kadha wa kadha yameharibiwa halafu bado tu wanasema wana uwezo. uwezo au akili matope. iran wametepeta na wangeendelea kukaza wangerudishwa zama za mawe za mwanzo. Mwenye nguvu mpishe mbali.
 
Tehran na Karaj zinashambuliwa muda huu.
 
Mkwara au mapendekezo ya iran ndio yamekubaliwa badala ya mapendekezo ya kifedhuli ya USA..

Angeyakataa mapendekezo ya iran tungeona mkwara umesaidia..mbona wiki nyuma aliyakataa hayo mapendekezo ya iran na saizi ameyakubali..

Aliyejishusha hapo ni nani sasa?
Hakuna mapendekezo yaliyokubaliwa na Jumamosi ndio mazungumzo yanafanyika, watu sijui mpaka muandikiwe kilugha ndio muelewe ni shida sana.
 
Back
Top Bottom