Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Wakati mvutano wa kisiasa na kijeshi ukiendelea kuongezeka katika eneo la Strait of Hormuz, Wataalamu wa sekta ya mafuta anaonya kuwa dunia inaweza kukabiliwa na msukosuko mkubwa wa nishati iwapo njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta itavurugika.
Kutokana na changamoto hizo, wataalamu wengi wanaona suluhisho la vitendo kuwa ni kujenga mabomba ya mafuta (oil pipelines) yanayopita nchi kavu na kupeleka mafuta moja kwa moja kutoka kwenye visima vya uzalishaji hadi kwenye bandari zilizopo nje ya Ghuba ya Uajemi.
Source: Why Moving Oil by Trucks Instead of Tankers Would Never Work? And Why Pipelines Are the Real Solution? Thank you to everyone who has shared various ideas about alternative oil transport routes… | Elia Wilinasi Sikanyika | 10 comments