Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 6,076
- 15,685
Meli ya container Mv GFS Pride imezama kwenye mfereji wa Strait of Hormuz baada ya kupita sehemu yenye mabomu na jeshi la wana mgambo wa Iran walitoa taadhari meli isipite ikakaidi na kupigwa kombora. Hakuna taarifa yoyote ya uokoaji wala hali ya wafanyakazi meli.
Meli hii ina usajili wa Singapore na ilikuwa imetoka Karachi-Pakistan ikielekea Fujairah-UAE. Ikiwa imebeba container 2824 (20TEU).Hali ya biashara ya meli katika eneo hili kila siku inazidi kuwa mbaya Iran bado wanaweka vikwazo meli kupita.
Chanzo : DeccanHerard na World Shipping Association
www.deccanherald.com

Container ship sinks near Hormuz after being hit by projectile: Report
Singapore flagged container ship GFS Pride sinks near Strait of Hormuz following projectile hit.