Meli ya pili ya Kontena yalipuliwa katika mfereji wa Strait of Hormuz

Meli ya pili ya Kontena yalipuliwa katika mfereji wa Strait of Hormuz

Basi waache waendelee kula vyuma tu maana kampuni yetu ililipa kila kitu tumepita hapo mwezi uliopita na tukapewa guard kabisa wa kutuongoza mpaka nje jamaa akashuka

Swali mkuu ikiwa umelipa kuvuka kwenda na JE muda wa kurudi watataka tena Pesa ??

au ndio ileile inakuwa kwenda na kurudi ???
 
MAREKANI NA ISRAEL wana rohoo mbayaaa ndio imesababisha Dunia inapitia gharama kubwa za Maisha kwasasa kwa kupanda vitu bei nauri nk.

Wanaona Iranian wakipata sio sawa lkn wao ndio wakupata manufaa
Rasilimali ya Iranian wakiuze wanaumia kina Trump na Israel

Wanaota siku moja watakuwa na uwezo wa kuamua kama pale Venezuela!!!
 
Meli ya container Mv GFS Pride imezama kwenye mfereji wa Strait of Hormuz baada ya kupita sehemu yenye mabomu na jeshi la wana mgambo wa Iran walitoa taadhari meli isipite ikakaidi na kupigwa kombora. Hakuna taarifa yoyote ya uokoaji wala hali ya wafanyakazi meli.

Meli hii ina usajili wa Singapore na ilikuwa imetoka Karachi-Pakistan ikielekea Fujairah-UAE. Ikiwa imebeba container 2824 (20TEU).Hali ya biashara ya meli katika eneo hili kila siku inazidi kuwa mbaya Iran bado wanaweka vikwazo meli kupita.

Chanzo : DeccanHerard na World Shipping Association


View attachment 3690674View attachment 3690675
Hasara tu..
 
Sasa Iranian kawaanyesha kwamba kwasasa eneo lote la Gulf States hakuna kutoka kitu Kama ni Vikwazo basi vya eneo lote la Gulf States!!

au nipewe changu Kama transit fees Dollars nyingi pia sio ndogo!!!!
 
Hao washirika wake ndio wanaotaka saudi arabia ipigane vita sana ili wenyewe wafaidike kwa kumnyonya saudi arabia na vita hiyo kuidhoofisha saudia na dini yake.

Umeona wapi mu israel na mmarekani anaulinda uislam?
Naunga mokono hoja
 
Container 2824 zipange kwenye malori barabarani uone msafara wake halafu piga hesabu thamani ya mzigo


View: https://x.com/jasmine_odor/status/2110419143468167453?s=12

Container zilikuwa na Iphone na Perfume za kifahari za kifaransa. Wavuvi wanaoishi pembezoni ya Hormuz wiki hii wanapambana kubeba wameacha hata kuvua samaki.
IMG-20261015-WA0305.jpg
 
Container zilikuwa na Iphone na Perfume za kifahari za kifaransa. Wavuvi wanaoishi pembezoni ya Hormuz wiki hii wanapambana kubeba wameacha hata kuvua samaki.View attachment 3692821
Mzigo mkubwa sana huo
Nimepiga hesabu kwa idadi ya container kwa semi ya kubeba kontena la 40ft na gap ya umbali wa mt 3-5 hapo foleni ya malori inaanzia bandarini mpaka maeneo ya Kibaha
 
Ngoja wanyoshane kidogo...
Hapo wasomali wanashangilia sana, wakajiokotee vitu...


Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom