Iran yafungua lango la Hormuz kupisha mazungumzo ya Israel na Lebanon

Iran yafungua lango la Hormuz kupisha mazungumzo ya Israel na Lebanon

iran kabanwa imebidi aachie tu tena bure kabisa hakuna tena mambo ya kulipisha dola milioni 2 😂

View attachment 3574390
We mjinga kweli Iran amewachia as long as kuna ceasefire wakijidai kugusa Lebanon Hormuz inafungwa kwa hio Iran ndio anaye amua iwe bure au walipe hakuna ambaye anaweza kugusa Hormuz huyo kibabu wenu mikono yake ipo kwenye tweeter tu.

Kwa tarifa yako Trump anataka kuwahonga Iran mabillions ili wampe Uranium hahaha we baki na ujinga wako eti Iran kafanyiwa pressure 🤣
 
Aprili 17, 2026 Iran imetangaza kuwa Mlango wa bahari wa Hormuz (Strait of Hormuz) umefunguliwa kwa shughuli za kibiashara wakati huu wa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Lebanon.

Waziri wa Mambo ya Nje, Seyed Abbas Araghchi, amesema; "Sambamba na kusitisha mapigano nchini Lebanon, njia ya meli zote za kibiashara kupitia Mlango wa bahari wa Hormuz umefunguliwa kwa muda uliosalia wa kusitisha mapigano."

Hata hivyo, Araghchi ameongeza kuwa meli lazima zipite katika "njia iliyoratibiwa" iliyotangazwa na mamlaka za usafiri wa majini za Iran.

Israel na Lebanon zilikubaliana siku ya Alhamisi, Aprili 16, 2026 kusitisha mapigano kwa muda wa siku 10, kuanzia saa kumi na moja jioni siku hiyo hiyo. Operesheni za kijeshi za Israel nchini Lebanon dhidi ya kundi la wanamgambo wa Hezbollah, ambao ni washirika wa karibu wa Iran, imekuwa kikwazo kikubwa katika mazungumzo kati ya Washington na Tehran.

Rais Donald Trump aliishukuru Iran kwa kufungua lango hilo kupitia ujumbe wake kwenye mitandao ya kijamii. Lakini, Trump alisisitiza kuwa kuzingirwa kwa bandari za Iran na jeshi la majini la Marekani (naval blockade) kutaendelea kuwepo hadi pale makubaliano rasmi yatakapofikiwa na Tehran.

Kufuatia tangazo hilo, bei ya mafuta duniani imeshuka kwa zaidi ya 11%.


===

Iran on Friday declared the Strait of Hormuz completely open to commercial traffic during the ceasefire between Israel and Lebanon.

"In line with the ceasefire in Lebanon, the passage for all commercial vessels through Strait of Hormuz is declared completely open for the remaining period of ceasefire," Foreign Minister Seyed Abbas Araghchi said in a social media post. However, vessels must transit through a "coordinated route" announced by Iran's maritime authorities, Araghchi said.

President Donald Trump thanked Iran for opening the strait in a social media post. But Trump said the U.S. naval blockade of Iran's ports will remain in effect until an agreement is reached with Tehran.

Oil prices plunged more than 11% after the announcement.

Israel and Lebanon agreed Thursday to a 10-day ceasefire starting at 5 p.m. ET that evening. Israel's military campaign in Lebanon against the militant group Hezbollah, who are close allies of Iran, has been a sticking point in negotiations between Washington and Tehran.

Trump agreed to a two-week ceasefire on April 7 in exchange for Iran completely opening the strait. But Iran's parliamentary speaker Mohammad Bagher Ghalibaf accused the U.S. of violating the agreement by allowing Israel to continue its campaign in Lebanon.

The strait has remained almost completely closed during the U.S.-Iran ceasefire as the two countries disputed the terms of the agreement. Just a few commercial vessels are transiting the waterway daily.

Negotiations between Vice President JD Vance and Ghalibaf last weekend in Pakistan failed to produce an agreement to permanently end the U.S. war with Iran. Trump said U.S. and Iranian negotiators could meet again this weekend in Pakistan for a second round of talks.

What is the Strait of Hormuz, why does it matter?

It's a critical shipping route through which roughly 20% of the world's oil and natural liquefied gas is transported.

The strait's geography has allowed Iran to use it as leverage throughout this war, selectively preventing vessels from passing through the narrow waterway and spiking oil prices in the process.

Bounded to the north by Iran and to the south by Oman and the United Arab Emirates (UAE), the corridor - only about 50km (31 miles) wide at its entrance and exit, and about 33km wide at its narrowest point - connects the Gulf with the Arabian Sea.

The strait is deep enough for the world's biggest crude oil tankers, and is used by major Middle Eastern oil and LNG producers, as well as their customers.

In 2025, about 20 million barrels of oil and oil products passed through the Strait of Hormuz per day, according to estimates from the US Energy Information Administration (EIA). That is nearly $600bn (£447bn) worth of energy trade per year.

The oil comes not only from Iran but other Gulf states such as Iraq, Kuwait, Qatar, Saudi Arabia and the UAE.
Waache uongo Trump Kawabata mpaka wameachia wenyewe!! Walijifanya wanajua kumbe Trump kujua zaidi yao hawana namna Bali kufungwa tu Hormuz!!

Wachambuzi Uchwara wameachia wenyewe waarabu-koko wa Bonyokwa wanajifanya kumpamba Iran Eti kufungua Hormuz kutisha usitishwaji wa mapigano huko Lebanon wakati si Kweli kabisa.

Iran kafungua mwenyewe baada ya mbinyo wa Marekani wala sivinginevyo!!
 
Najua inauma ila kubali tu,ile block ya marekani haikuwa mchezoo
Usiongee mambo kishabiki tangu usitishaji wa vita mlango ulifunguliwa kama moja wapo ya makubaliano ya kusitisha vita kwa wiki 2 ,ila Iran aliufunga tena baada ya Israel kukiuka makubaliano kwa kuendelea kushambulia Lebanon.
Sasa jana Israel imekubali kusitisha mashambulizi dhidi ya Lebanon ndo maana Iran na yenyewe imerudi kwenye makubaliano ya kuuweka wazi huo mlango na ndio maana wamesema umefunguliwa kipindi cha sitisho la mapigano tu inamaana muda ukiisha kama kutakuwa hakuna makubaliano mapya mlango utafungwa tena.

Alafu huo uzio wa Trump una siku 4 tu sasa unategemea hizo siku nne zinatosha kushinikiza Iran kubadili msimamo?
Tatizo nyinyi mlikuwa mnaamini kuwa Marekani ni zaidi ya mungu huwa hawashindwi kitu ndo maana mpaka sasa hamtaki kuamini kuwa hii vita imeiendea kombo marekani tofauti na malengo yake..
Na nina uhakika hata Trump huko aliko atakuwa anajutia pakubwa sana kuanzisha vita hivi maana vimekuja kufichua kuwa kumbe nguvu ya marekani ina mipaka tofauti na propaganda zao walizo kuwa wakitumezesha miaka mingi.
 
US ni giant sana, China pamoja na ukaribu wote na Iran na agreements kibao wame Saini ila amekuwa akichungulia tu mwenzake akidudwa

Strait of Hormuz is completely opened for commercial vessels
Lakini pia trump still anadai kuwa blockade itaendelea until makubaliano yapite
 
Na pia umefunguliwa kwa Masharti, Meli zote lazima zipite njia ambayo Jeshi la Iran imepanga, na sio Meli zote zitaruhusiwa kupita, Civilian wanaopita hapo pia wanatakiwa wakaguliwe.
zinapita njia ambayo irani imepanga kwa sababu eneo jingine la ule upande wa oman,jeshi la irani limetega mabomu chini ya maji.
 
Israel alichomfanyia Iran kupitia kwa mshirika wake Hezbola ndicho hichohicho Iran alikuwa akikifanya kwa washirika wa marekani (waarabu). Yaani ukitandikwa, wewe unamtandika mshirika wa anayekupiga. Mwenyewe atakubali mzungumze tu!.
 
Iran kafungua huo Mlango je kule Malawi kusini mafuta yatashuka Bei ?
 
Hakuna kizuwizi chochote pale mana mnunuwaji mkubwa wamafuta ya iran ni China,China ambayo inanunua mafuta zaidi ya %85 ya mafuta ya iran,unakumbuka juzi Trump ametangaza kwamba Meli za mafuta ya China hazitazuwiliwa inamana biashara kati ya Iran na china inaendelea kama kawaida sasa USA anazuwia meli za nchi gani?
 
zinapita njia ambayo irani imepanga kwa sababu eneo jingine la ule upande wa oman,jeshi la irani limetega mabomu chini ya maji.
Sasa marekani si wana control hilo eneo si wategue hayo mabomu ili meli zipite
Au khadija Turampet alikua anatupiga za chembe???
 
Nilisema Trump alicheza kete vizuri,kitendo Cha kupiga block Kwa Meli za Iran ilikuwa kilio Cha kusaga meno Kwa Iran
Embu ficha ujinga wako basi. Iran imeufungua huo mlango KWAAJILI YA LEBANON VITA ISIMAME.
Iran haathiriki maana ana bahari ambayo anachangia na nchi nne ikiwemo Urusi ambayo ni Caspian. Huko anafanya biashara zake zote na kupitisha mahitaji yako yote muhimu. Aya Jumapili ameufunga tena huo mlango.
 
Back
Top Bottom