Iran yaiondolea Israel Confidence iliyokuwa nayo

Naona nchi tatu za Ulaya (UK, France na Ujerumani) zimemuita waziri wa mambo ya nje wa Iran kufanya mazungumzo naye.
Bila shaka wanaenda kujaribu kuishawishi Iran ikubali ceasefire.
Wazungu wahuni sana, wanakuanzishia fujo, halafu baadae wakishaleta madhara au wakiona muziki mnene wanaanza habari za sasa hebu njoo tuongee
 
Siku zote wakiona raia wao au masilahi yao yako hatari, huwa wanaufyata.
 
Yaani hawa acha wanyukane hadi mtemi ajulikane...
 
Kwahiyo kupiga hosipital ndio kunafanya iran kuwa imefanikiwa ?


Israel kaenda vitan kwa malengo angeamua kurusha kombora tehran ingeshageuka majivu
 
Tufanye vita imeisha leo nani atakuwa kapata hasara kwa idadi ya vifo,kulipuliwa kwa vinu vya nyukilia,kuuawa kwa prominent leaders, mwisraeli ametawala anga la iran anafanya atakalo,yeye kazi kutuma vimondo akiwa mbali,kama mjanja nae si avinjari kwenye anga la taifa teule
 
Uchambuzi umeshiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…