Iran yaituhumu Israel kifo cha Rais wao, chopa iliyoanguka ilikuwa na vifaa vya mawasiliano sawa vile vya Hezbollah vilivyolipuka

Iran yaituhumu Israel kifo cha Rais wao, chopa iliyoanguka ilikuwa na vifaa vya mawasiliano sawa vile vya Hezbollah vilivyolipuka

Mwambieni na yule mtu wenu aliyejinasibu kujibizana na mabalozi wa Hawa watu kwamba achukue tahadhari kubwa sana dhidi ya hao Watu, ikiwezekana aitishe press nyingine ili awaombe msamaha. Mwenzako akinyolewa zako tia maji. Kiburi si maungwana!
Huyu Polisi walitengeneza hizi chats , wakawachukua akina steve nyerere waigize sauti za viongozi wa CHADEMA kuwa wanawasiliana wakipanga mipango ya kuanzisha vurugu wakampelekea, na yeye kichwakichwa ndiyo akasimama hadharani kujisifu keamba nchi ina intelijensia kali
34f85f59-6f04-4951-bb56-eb7e46694949.jpeg
 
Mzushi nani sasa, mleta mada au Iran?
Mleta mada sababu Iran hawajasema anachosema yeye... kachota tu kitaani.. hakuna official press kuhusu jambo hilo.. so hii thread ipelekwe Jamii check
 
Back
Top Bottom