Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nambie chief
Umeona Iran wamekanusha kuhusika na hilo tukio?Nambie chief
,kukanusha ndiyo taarifa iliyokuwa inasubiriwa maana wanajua balaa lake, kiufupi wameyatimba.Umeona Iran wamekanusha kuhusika na hilo tukio?
Hawahusiki kwa lolote,kukanusha ndiyo taarifa iliyokuwa inasubiriwa maana wanajua balaa lake, kiufupi wameyatimba.
Basi tuachie muda utaamua.Hawahusiki kwa lolote
mzee kigogoIran ndio baba wa ugaidi duniani
mzee kigogo ngoja kwanza nikulime block maana haunaga faida [/QUOTE said:Mkuu usipaniki kiuhalisia Iran ni mhandisi wa uovu duniani.
Alivyo mwehu huyo hapo kama kapewa order ya kuwatwanga.Ninavyomjua Trump tangu tunasoma wote hili hatalifumbia macho
Israel Na Marekani ni nchi mbili tofaut kbs , huez sikia matukio ya hovyo hovyo ndani ya Israel kama ilivyo Marekani nchi ya woteKama Iran inauwezo huo basi Netanyahu anajipange.