Iran yakanusha kupeleka drones zake Urusi, hivi wanaogopa nini?

Iran yakanusha kupeleka drones zake Urusi, hivi wanaogopa nini?

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Iran yasema haifungamani na upande wowote na yakana drones zake hazijatumwa Urusi....swali la msingi wanaogopa nini, ukitoa msaada kwa supapawa Urusi jiandae kwa kitakachokupata, ni dhahiri drones za Iran zinatumika kuua wananchi wa Ukraine, zinapiga bembea za watoto.

==========

Iran has once again rejected allegations that it has supplied Russia with weapons "to be used in the war in Ukraine", its foreign ministry said Saturday.

Kyiv and many of its Western allies have accused Moscow of using Iranian-made drones in attacks on Ukraine in recent weeks. The topic is expected to be discussed by European Union foreign ministers in a meeting in Luxemburg on Monday.

Iranian Foreign Minister Hossein Amir-Abdollahian "emphasized that the Islamic republic of Iran has not and will not provide any weapon to be used in the war in Ukraine," the foreign ministry said in a statement.

"We believe that the arming of each side of the crisis will prolong the war," the Iranian foreign minister said in a call with his Portuguese counterpart Joao Gomes Cravinho.

"We have not considered and do not consider war to be the right path either in Ukraine or in Afghanistan, Syria and Yemen."

In a separate phone call with EU foreign policy chief Josep Borrell on Friday, Amir-Abdollahian reiterated Iran's official stance of neutrality over the war that started nearly eight months ago.

"We have defense cooperation with Russia, but our policy regarding the war in Ukraine is not sending weapons to the conflicting parties, stopping the war and ending the displacement of people," he said.

On Monday, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said Iranian drones were used in Russian attacks on energy infrastructure in several Ukrainian cities.

Last month, Kyiv decided to significantly reduce its diplomatic relations with Tehran over alleged arms deliveries to Russia.

Iran said the decision was "driven by baseless information provided by foreign media propaganda".

Source: VoA
 
Ukraine naye anapokea silaha toka nchi za Ulaya na Amerika,wacha watandikane hadi atakeshindwa asalimu amri.
Raia wanatakiwa kupisha kwenye uwanja wa vita,ndio gharama zenyewe za vita.

Hao Ulaya hawakanushi, wanaanika kabisa mizigo wanayoshusha Ukraine, sasa Iran mbona wanakana, ndio swali la msingi, wanaogopa nini kukubali upande waliouchagua.
 
Hao Ulaya hawakanushi, wanaanika kabisa mizigo wanayoshusha Ukraine, sasa Iran mbona wanakana, ndio swali la msingi, wanaogopa nini kukubali upande waliouchagua.
Sa dalili iko wapi kama hizo ni drone za Iran wakati Mrusi anatengeneza nwenyewe drone, hizo ni Western propaganda wameshindwa vita na Mrusi sa wanatafuta njia ya kudai Urusi kasaidiwa.

Hivi we akilini kwako Mrusi ataishiwa stock wakati hi vita alijua wazi itatokea tokea walipo muweka kibaraka wao Ukraine.
 
Screenshot_20221017-221132.png
Screenshot_20221017-220939.png
 
Hayo maserekali hayaaminiki, minchi shirika la urusi ni miongo inaongopa njenje.

Huwez kukaa ukaamini nchi za namna hyo ata cku moja.

Ndiyo maana nashangaa wanaoamini eti Russia itaitetea Africa na miuongo mingine kama hyo
 
Hayo maserekali hayaaminiki, minchi shirika la urusi ni miongo inaongopa njenje
Huwez kukaa ukaamini nchi za namna hyo ata cku moja
Ndo maana nashangaa wanaoamini eti Russia itaitetea Africa na miuongo mingine kama hyo
Uhuru wako wewe mwafrika enzi ya ukoloni ulisaidiwa na nani?
 
Hao Ulaya hawakanushi, wanaanika kabisa mizigo wanayoshusha Ukraine, sasa Iran mbona wanakana, ndio swali la msingi, wanaogopa nini kukubali upande waliouchagua.
Inatakiwa mzigo ndio uongee wenyewe, Iran anakanusha lakini drone zake zinafungua mabucha Ukraine,Ni balaa ,hao Ulaya wanatangaza lkn makorokoro yao hayana madhara
 
Umeanza utabiri wako wa Baba Vanga (sijui kama umewahi kumsikia) ukiambiwa leta source:VoA unategemea nini kutoka source ya his Master's voice kama sio wanaongeza chumvi na kusema/zungumza adithi za kubuni/tunga ili kufurahisha baraza - tumekwisha wazoea hawatupi shida.

Hivi inaingia akilini kwamba Irani inaogopa mtu au Taifa lolote hapa Duniani - kwa kuwa wewe by default ni mbishi sana na unapenda sana kulazimisha mambo.

Hapa nataka nikukumbushe wewe na members wengine wa JF kuhusu umahili wa kiufundi (sayansi na teknolojia) linapo kuja suala la taifa la Kiajemi/Iran ili kudhilisha kwamba Iran haiogopi Taifa lolote - msiwe mnatuletea adithi za vijiweni - la kwanza: Je, unakumbuka mwaka 2011 jinsi Iran ilivyo ishusha kiufundi American Stealth Spy Drone type: RQ-170 Sentinel - US hawakuamini kilicho wapata, mwanzo walisema Wairan ni wazushi, mwishowe USA ilikubali baada ya Wairan kuonyesha picha live - je,Amerika ilichukuwa hatua gani mbona ilikaa kimya na kuiomba Iran iwarudishie Drone yao.

Hilo la kwanza, la pili linahusu Drone tena ya Kimerikani type: RQ-4A Global Hawk, mwaka 2019 Iranian integrated system of air defense ilitungua drone hiyo ya Kimerikani - mbona US ilikaa kimya bila ya kuichukulia Iran hatua yoyote - eti Iran inaogopa!!!

La tatu ambalo ni baya zaidi: miaka kama mitatu iliyo pita Iran ilivurumisha missiles 12 kwenda kushambulia kambi mbili za jeshi la Merikani nchini Iraq, missiles zote zilipiga designated target bila ya kuwa intercepted hata roketi moja licha ya Merikani kujidai kwamba kambi zao za kijeshi ni impregnable ie zinalindwa na ground breaking air defense system, lakini bado missiles za Iran zlifaikiwa kuharibu critical infrastructures pamoja na kujeruhi wanajeshi wengi walio kuwa wamejichimbia kwenye concret reinforced bunkers lakini walihumia na kukimbizwa kwenye Hospitali za Kuwait, Ujerumani na huko Merikani.

Dunia ilitegemea kwamba USA itaishushia Uran mabom kutoka B-52, B-2 nk lakini wapi wapo kimya mpaka sasa - halafu wanakuja waswahili hapa na kudai eti Iran inaogopa, Iran haiwezi kutishiwa Nyau na mifano hipo.

Sasa swali ni:je,missiles za Iran zilijipenyeza vipi kwenye kambi ambazo zinalindwa na teknolojia ya kufa mtu - hii inaleta picha gani kuhusu majigambo ya jamaa hawa,ambao wana kawaida ya kubeza beza teknolojia za Warusi - wakiongozwa na propaganda za MSM, wako very obsessed na everything Russian mpaka unashangaa!!

Tukija kwenye suala la Iran kukanusha kwamba ndio wanawauzia/patia jeshi la Urusi drone za Kamikaze - mbona kidiplomasia hilo ni jambo la kawaida lakini wenye akili wanajua muhusika mkuu ni yupi, hata kulipuliwa kwa bomba za gesi za Nord1 na Nord2 muhusika mkuu anajulikana lakini kwenye Public anakanusha - nyie mnaona ajabu gani Iran kukanusha mkadai eti Iran inaogopa - imuogope nani???
 
hivi huko KE hamna issues za kuandika hapa kila siku Iran? we jamaa mbona unakua mpumbavu kaisi hiki? ndio maana nchi ndogo kama ukraine inalisha ngano bara zima la africa sababu ya vijana wa hovyo kama wewe shwain
Wewe ambaye sio wa hovyo mbona hujalima hiyo ngano ili ulishe angalau familia yako tu. Sasa hivi bei ya kila kitu kimepanda ikiwemo vyakula nawe uko unalialia tu halafu unakuja humu kulaumu wanaoandika ukweli kuhusu jinsi Russia wanavyo galalizwa kwenye vita vya kijinga walivyoanzisha wenyewe. Bure kabisa.
 
Back
Top Bottom