Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Hamna Nabii wa kale yeyote aliyewahi kufanya mfanyavyo ninyi umenukuu agano jipya na la kale, kwenye Biblia ya kiingereza kuna matumizi ya neno (fall on his face) hawakuwa wakigonoka makalio juu waamke wagonoke tena.
.
Ndio mana hata Kristo alifanya hivyo kwenye jiwe.
Mtu mjinga ni yule asiyejua lengo la kina othman na Muddy kuanzisha makoran werevu tunatambua kwa juhudi zetu binafsi
.
Quran 2:106. Ishara yoyote tunayo ifuta au tunayo isahaulisha tunailetea iliyo bora kuliko hiyo, au iliyo mfano wake. Hujui kwamba Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kila kitu?
Tutusa mkubwa we mwenye mdomo mchafu kama choo cha stendi.
Unajifanya mjuaji kumbe kichwani hamna kitu, Kiingereza hujui na wala Biblia huijui kazi kurukia na kukashifu mafundisho ya Qur'an huku mafundisho ya Biblia yamekuacha.
Ukisema; some one fell on his face, maana yake "mtu fulani alisujudu".
Phrasal verb "fall on face" means prostrate. Prostrate ni "sujudu" .
Angalia maana ya asili ya hii phrasal verb --- " fall on one's face"; neno hilo lilianza kurekodiwa matumizi yake tangu 1614.