Iran yalipua kiwanda cha kusafisha maji nchini Qatar kinachozalisha asilimia 90 ya maji safi

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Katika shambulio la Iran lililolenga Qatar siku ya Ijumaa shambulio hilo limeharibu sehemu za kiwanda cha umeme na uchujaji wa maji,
=========

Kuwait imesema kuwa kituo cha kusafisha maji ya bahari (desalination plant) pamoja na kiwanda cha kusafisha mafuta vimeshambuliwa na Iran huku mataifa ya Ghuba yakikabiliwa na mashambulizi. Hata hivyo, Tehran imekanusha kuhusika na shambulio hilo la kituo cha maji.

Wakati huo huo, Iran pia imerusha makombora kuelekea Israel.
 
Naona sasa hadi vitu vinavyogusa raia vinashushiwa makombora...

Najaribu tu kuimagine endapo UAE, Qatar, Kuwait na Bahrain zikachoka kuonewa na zikaungana kijeshi pamoja na USA/Israel kushambulia Iran kwa pamoja...
 
Hawawezi mkuu, wanaweza shinda vita ila UAE na Qatar zitashindwa kuwa investment centers tena maana sio tu zitatumia miaka mingi kurejesha trust na usalama ila mitaji mingi itaondoka.

Hivyo Iran ina waforce wazifukuze kambi za USA na waigeukie Iran kama "baba" wa kanda. Maana hii ni message kuwa next time tena ikitokea vita na USA au Israel basi gulf states ni waathirika zaidi.

Kumbuka USA imeshindwa kuwalinda kabisa yenyewe inamlinda Israel pekee.
 
Naona sasa hadi vitu vinavyogusa raia vinashushiwa makombora...

Najaribu tu kuimagine endapo UAE, Qatar, Kuwait na Bahrain zikachoka kuonewa na zikaungana kijeshi pamoja na USA/Israel kushambulia Iran kwa pamoja...
Do you think wangekuwa na Hiyo power wangeiacha Iran !?

Kaharibu kuwapiga wewe halafu uone kama watakukalia kimya mkuu !?

Kama Taifa tu walilolipa dhamana ya kuwa Linda USA base zake zimepigwa na kuchanwa chanwa vipi umeshajiuliza Hali itakuwaje Kwa hao wengine, I think hata wao wanajiuliza kama Tuliye mpa dhamana ya kutulinda mpaka Leo hii anatolewa jasho Hali itakuwaje kuhusu sisi endapo tukimvamia Iran !?
 
Nadhani wanajihami ili kulinda investors ambao kimsingi ndio wanafanya haya mataifa yanawiri, wakijaribu kufanya retaliation ni kuwafukuza investors na hii ina maana kuuwa uchumi wa Gulf kwa ujumla.

Waajemi waendelee tu, 🇺🇸 na 🇮🇱 wamekuwa dictators wakubwa sana.
 
Do you think wangekuwa na Hiyo power wangeiacha Iran !?

Kaharibu kuwapiga wewe halafu uone kama watakukalia kimya mkuu !?

Kama Taifa tu walilolipa dhamana ya kuwa Linda USA base zake zimepigwa na kuchanwa chanwa vipi umeshajiuliza Hali itakuwaje Kwa hao wengine, I think hata wao wanajiuliza kama Tuliye mpa dhamana ya kutulinda mpaka Leo hii anatolewa jasho Hali itakuwaje kuhusu sisi endapo tukimvamia Iran !?

Base za US kupigwa ndani ya hizo nchi sio shida sana sababu haigusi maslahi ya raia au mali za hizo nchi...

Lakini sasa kama Iran inataka kupiga miundombinu iliyojengwa na serikali za hizo nchi, mkuu huo ni uchokozi unaoweza kufanya hata wao wajibu mashambulizi (ikiwa wana uwezo kijeshi)...
 
Mtoa mada ni katika wasambaza Uongo kwenye hii vita, Kwanza Qatar haijapigwa ni Kuwait, na imepigwa na watu wanaohisiwa kuwa ni Israel. Iran amekanusha kuhusika.
 
Naona sasa hadi vitu vinavyogusa raia vinashushiwa makombora...

Najaribu tu kuimagine endapo UAE, Qatar, Kuwait na Bahrain zikachoka kuonewa na zikaungana kijeshi pamoja na USA/Israel kushambulia Iran kwa pamoja...
Hilo US/Israel wanatamani litokee...
 
Back
Top Bottom