Ngoja vibaraka wa mabeberu wapigwe hadi akili ziwakae sawa.Katika shambulio la Iran lililolenga Qatar siku ya Ijumaa shambulio hilo limeharibu sehemu za kiwanda cha umeme na uchujaji wa maji,
Iran war updates: Tehran says two US planes shot down
These were the updates on the US-Israel war on Iran on Friday, April 3, 2026.www.aljazeera.com
Na wapigwe tuNgopa vibaraka wa mabeberu wapigwe hadi akili ziwakae sawa.
Hawawezi mkuu, wanaweza shinda vita ila UAE na Qatar zitashindwa kuwa investment centers tena maana sio tu zitatumia miaka mingi kurejesha trust na usalama ila mitaji mingi itaondoka.Naona sasa hadi vitu vinavyogusa raia vinashushiwa makombora...
Najaribu tu kuimagine endapo UAE, Qatar, Kuwait na Bahrain zikachoka kuonewa na zikaungana kijeshi pamoja na USA/Israel kushambulia Iran kwa pamoja...
Do you think wangekuwa na Hiyo power wangeiacha Iran !?Naona sasa hadi vitu vinavyogusa raia vinashushiwa makombora...
Najaribu tu kuimagine endapo UAE, Qatar, Kuwait na Bahrain zikachoka kuonewa na zikaungana kijeshi pamoja na USA/Israel kushambulia Iran kwa pamoja...
Hakuna namna; watwangwe tu!Na wapigwe tu
Nadhani wanajihami ili kulinda investors ambao kimsingi ndio wanafanya haya mataifa yanawiri, wakijaribu kufanya retaliation ni kuwafukuza investors na hii ina maana kuuwa uchumi wa Gulf kwa ujumla.Naona sasa hadi vitu vinavyogusa raia vinashushiwa makombora...
Najaribu tu kuimagine endapo UAE, Qatar, Kuwait na Bahrain zikachoka kuonewa na zikaungana kijeshi pamoja na USA/Israel kushambulia Iran kwa pamoja...
Do you think wangekuwa na Hiyo power wangeiacha Iran !?
Kaharibu kuwapiga wewe halafu uone kama watakukalia kimya mkuu !?
Kama Taifa tu walilolipa dhamana ya kuwa Linda USA base zake zimepigwa na kuchanwa chanwa vipi umeshajiuliza Hali itakuwaje Kwa hao wengine, I think hata wao wanajiuliza kama Tuliye mpa dhamana ya kutulinda mpaka Leo hii anatolewa jasho Hali itakuwaje kuhusu sisi endapo tukimvamia Iran !?
Mtoa mada ni katika wasambaza Uongo kwenye hii vita, Kwanza Qatar haijapigwa ni Kuwait, na imepigwa na watu wanaohisiwa kuwa ni Israel. Iran amekanusha kuhusika.Base za US kupigwa ndani ya hizo nchi sio shida sana sababu haigusi maslahi ya raia au mali za hizo nchi...
Lakini sasa kama Iran inataka kupiga miundombinu iliyojengwa na serikali za hizo nchi, mkuu huo ni uchokozi unaoweza kufanya hata wao wajibu mashambulizi (ikiwa wana uwezo kijeshi)...
Hilo US/Israel wanatamani litokee...Naona sasa hadi vitu vinavyogusa raia vinashushiwa makombora...
Najaribu tu kuimagine endapo UAE, Qatar, Kuwait na Bahrain zikachoka kuonewa na zikaungana kijeshi pamoja na USA/Israel kushambulia Iran kwa pamoja...