Tupe chanzo cha taarifa yako mkuu1)Hapana waarabu hawana mpango wa kuishambulia Irani
2)Irani haijaomba msamaha Kwa maifa jirani Kwa kuhofia kuishambulia Kwa pamoja
Badara yake ime tangaza kuto shambulia Tena majirani bari nguvu atazielekeza zaidi guba, Israel na USA
isipo kuwa tu kama adui/USA NA ISRAEL atazitumia inchi hizo jirani kuishambulia Irani.
Pia ameomba Radhi Kwa kupiga au kushambulia sehemu nyeti zenye lengo la kumlegeza adui ndani ya inchi hizo majirani
Kwa kifupi mkuu Irani ndiye aliye shikilia usukani kwenye vita hii Israel na USA wanachapika baraa
Wewe ni shoga mkuu?Halafu makobaz huwa hayana akili, yaani Hezbollah walitumia kipindi kibovu sana kuchokonoa Israel, wapo wanapitia kipigo Cha mbwa tena kimya kimya, inasemekana Israel inatumia fursa hii kufanya usafi kama ule walifanya kwa HAMAS