Iran yaongeza bajeti ya Jeshi kwa 200%

Iran yaongeza bajeti ya Jeshi kwa 200%

Iraq alisaidiwa na warabu karibu wote na hakushinda vita 😄
Iraq ilivamia Khafji Saudi Arabia Saudi Army ikawatimulia mbali.

Google the Battle of Khafji.
saudi-arabian-soldiers-stand-guard-near-the-border-with-kuwait-following-FMAM2H.jpg
 
Samahani lakini, hii nchi sasa inaenda kuyumba kiuchumi, uchumi wake upo kwenye mafuta kwa sasa inakabiliwa na migogora ya kuanguka kwa thamani ya sarafu yake, nadhani hali itaenda kwa mabaya zaidi kwa wananchi na kama ikiendeleza migogora na Israel kuna uwezekano wa vituo vya mafuta vinavyobeba uchumi wa irani kulipuliwa
Kinacho wabeba IRAN ni US $ anazochapisha mwenyewe na zinapita kwenye machine kama kibamia kivyopita kwenye bwawa la changudoa.
 
U
Samahani lakini, hii nchi sasa inaenda kuyumba kiuchumi, uchumi wake upo kwenye mafuta kwa sasa inakabiliwa na migogora ya kuanguka kwa thamani ya sarafu yake, nadhani hali itaenda kwa mabaya zaidi kwa wananchi na kama ikiendeleza migogora na Israel kuna uwezekano wa vituo vya mafuta vinavyobeba uchumi wa irani kulipuliwa
Unaongea kutokea huko maji matitu mambo sio marahisi hivyo kam unavyofikiri Iran inavikwazo kw zaidi miaka 30 hivyo na wamefika hapo walipo .wanazalisha vitu vyao na ushurikiano wa component kutoka China
 
Pia military nyingi za usa ni private company unakuta ndege ya dollar 60ml us inawekewa bujeti ya 200ml usd .huko ndo akina Nancy Pelosi walikowekeza hisa na wanasiasa wengi tofauti na ilivyo nchi kama china Russia na hiyo iran
 
6b45035f-d6d4-4563-a26a-7ee884f40917.jpg

Mkuu wa Magaidi akilipua Fegi siku ya October 07.
1000006310.jpg
1000006337.jpg

Mkuu wa Magaidi akilia kwa uchungu baada ya Magaidi wake kuuwawa
FAFO.😆
 
Bajeti ya marekani siyo ya kimkakati ni pikiniki nyingi ...tumia akili

Kaka una uhakika.. au unafikiri wanaposema budget ya jeshi unadhan kama jeshi lako hapo na base za zake kadhaa za humu ndan.

Marekan nje ya US ana base 750+ .. kuanzia Europe Had Asia most of them zikiwa full military base with reserve. Maana yake wanaweza wakatoa full support kwenye swala la vita Utasema bado ni picnic.. in a
Context US anaweza akapigana vita na France akitumia Base ya Ujeruman, UK na kwengine

Mwisho wenzio wakitoa hizo estimate usifikiri wanaongela Mishahara ya wanajeshi vyakula na mafuta ya magar yao.. wanaongelea kuanzia kuwekeza kwenye technology, viwanda vyao vya kijeshi na kadhalika

Hiyo GPS unayoitumia inamilikiwa na US govt kupitia US Air Force. Maana yake ni nini maana yake wanarun satelite angani huko. So hiyo pesa sio ya kununulia mabomu vifaru na bunduki tu.
 
Samahani lakini, hii nchi sasa inaenda kuyumba kiuchumi, uchumi wake upo kwenye mafuta kwa sasa inakabiliwa na migogora ya kuanguka kwa thamani ya sarafu yake, nadhani hali itaenda kwa mabaya zaidi kwa wananchi na kama ikiendeleza migogora na Israel kuna uwezekano wa vituo vya mafuta vinavyobeba uchumi wa irani kulipuliwa
Kuna reporter mmoja kutoka Iran alikuwa anahojiwa Aljazeera yote uliyoyaandika ndio aliyoyasema
 
Back
Top Bottom