Iran yaongeza bajeti ya Jeshi kwa 200%

Kinacho wabeba IRAN ni US $ anazochapisha mwenyewe na zinapita kwenye machine kama kibamia kivyopita kwenye bwawa la changudoa.
 
U Unaongea kutokea huko maji matitu mambo sio marahisi hivyo kam unavyofikiri Iran inavikwazo kw zaidi miaka 30 hivyo na wamefika hapo walipo .wanazalisha vitu vyao na ushurikiano wa component kutoka China
 
Pia military nyingi za usa ni private company unakuta ndege ya dollar 60ml us inawekewa bujeti ya 200ml usd .huko ndo akina Nancy Pelosi walikowekeza hisa na wanasiasa wengi tofauti na ilivyo nchi kama china Russia na hiyo iran
 

Mkuu wa Magaidi akilipua Fegi siku ya October 07.
Mkuu wa Magaidi akilia kwa uchungu baada ya Magaidi wake kuuwawa
FAFO.πŸ˜†
 
Bajeti ya marekani siyo ya kimkakati ni pikiniki nyingi ...tumia akili

Kaka una uhakika.. au unafikiri wanaposema budget ya jeshi unadhan kama jeshi lako hapo na base za zake kadhaa za humu ndan.

Marekan nje ya US ana base 750+ .. kuanzia Europe Had Asia most of them zikiwa full military base with reserve. Maana yake wanaweza wakatoa full support kwenye swala la vita Utasema bado ni picnic.. in a
Context US anaweza akapigana vita na France akitumia Base ya Ujeruman, UK na kwengine

Mwisho wenzio wakitoa hizo estimate usifikiri wanaongela Mishahara ya wanajeshi vyakula na mafuta ya magar yao.. wanaongelea kuanzia kuwekeza kwenye technology, viwanda vyao vya kijeshi na kadhalika

Hiyo GPS unayoitumia inamilikiwa na US govt kupitia US Air Force. Maana yake ni nini maana yake wanarun satelite angani huko. So hiyo pesa sio ya kununulia mabomu vifaru na bunduki tu.
 
Kuna reporter mmoja kutoka Iran alikuwa anahojiwa Aljazeera yote uliyoyaandika ndio aliyoyasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…