Dereva wa Kirikuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 751
- 624
Iran couldn’t protect their number one defense officer, yet they think they are up to the task to face the mighty power of the USA 😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi US waliweza kumzuia Seleman kutoa Kolabo ili kufanikisha Sept 11 ndani ya ardhi ya US?Iran couldn’t protect their number one defense officer, yet they think they are up to the task to face the mighty power of the USA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo data ni western propaganda tu kujionyesha kuwa wao ndio superior, tatizo hamfuatilii mambo, recently imekuwa revealed kuwa US army huwa wanapika data ili kuonekana wako superior ila in reality wana suffer sana.Nilichogundua wengi humu wanachangia kwa hisia na itikadi za Kidini ... Na watu huwa hawasomi zaidi ya kuwa rumor mongers na kuja na vitaarifa vya kwenye kahawa U.S. withdraws from Vietnam
View attachment 1313635
Sent using Jamii Forums mobile app
Trump huwa anatarget mtu mmoja mmoja au maghala ya silaha lakini siyo zile vita za kuuwa watu wasiokuwa na hatia kama vile watoto!
Vipi US waliweza kumzuia Seleman kutoa Kolabo ili kufanikisha Sept 11 ndani ya ardhi ya US?
View attachment 1313677
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema Westerners wanapika data halafu umeniwekea link ya hao hao westerners nisome , unajielewa kweli weweHizo data ni western propaganda tu kujionyesha kuwa wao ndio superior, tatizo hamfuatilii mambo, recently imekuwa revealed kuwa US army huwa wanapika data ili kuonekana wako superior ila in reality wana suffer sana.
Kwani mpaka Sasa unajua pale Iraq wameshakufa wanajeshi wangapi wa USA?? .. Wewe unaangalia walikufa wanajeshi wa USA , nikikuwekea Idadi ya wavietnam waliokufa si utashangaa wewe...Na usisahau wanajeshi zaidi ya 58,000 wa US walikufa na at the end US haikufanikiwa kushinda kwa chochote ikaona ifyate mkia ikimbie kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu kasema tu tayari umehitimisha, huyo kamanda anakuwa overrated na washia kutokana na support aliyokuwa anawapa, siku nyingi alikuwa kwenye rada za USA kuanzia enzi za Bush ila hawakutaka kumrudisha kwa muumba wake, ila vitendo vyake vya kigaidi vilivyozidi mipaka basi Trump kaamua kumchomoa, Nasrallah asiposimama mguu sawa parapanda inahamia kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mpaka Sasa unajua pale Iraq wameshakufa wanajeshi wangapi wa USA?? .. Wewe unaangalia walikufa wanajeshi wa USA , nikikuwekea Idadi ya wavietnam waliokufa si utashangaa wewe...
Kwa taarifa tu mwaka 1974 ( ndani ya mwaka mmoja tu ) wanajeshi 80,000 wa Vietnam waliuawa baada ya kukiuka vietimization agreement chini ya rais Nixon ... View attachment 1313706
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha kupoteza muda na wazee wa story za kahawaMtu kasema tu tayari umehitimisha, huyo kamanda anakuwa overrated na washia kutokana na support aliyokuwa anawapa, siku nyingi alikuwa kwenye rada za USA kuanzia enzi za Bush ila hawakutaka kumrudisha kwa muumba wake, ila vitendo vyake vya kigaidi vilivyozidi mipaka basi Trump kaamua kumchomoa, Nasrallah asiposimama mguu sawa parapanda inahamia kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu kubwa Ni Communism Ideology...Mbona nimekwisha andika wa-vietcong walikua hawaogopi kufa kabisaa, cha msingi wao washinde ile vita FULL STOP.
Kwani US alifanikiwa kupata kilichompeleka huko Vietnam?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa unabishana mpk na Washington Times uko vizuri sana.
Wanasema Iran siyo nchi ya waislamu. Sasa imekuwaje iwe Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran?
Sababu kuu ya kuipiga Iran ni anafadhili vikundi vya kigaidi. Hii sababu hata Russia na China hawakoromi. China akijadai mdomo mdomo anakabidhiwa kampuni ya Google imshughulikie.
Ukiwa na silaha hata umejaza nchi nzima na uchumi wako ni dhaifu, wewe bado ni mbuzi wa supu tu kwa Marekani. Ushawahi kupitia ugumu wa kiuchumi? Usiombe upigike kiuchumi maana utapauka mpaka watu watakuwa wanakushangaa.
ADUI MUOMBEE NJAA
Yeah nilijua tu, huwezi kusoma na ndio maana unaleta ubishi wa kijiweni mbele ya wasomi, lazy cunt.Umesema Westerners wanapika data halafu umeniwekea link ya hao hao westerners nisome , unajielewa kweli wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi sidhani kama ni mkwara. Kuna ile "threshold" ya kuvumiliana.. ambayo graph ilishaifikia.
"Drone" ilivumiliwa. Mr President akaongea kidogo, tukasema ni biti. "Attack of US embassy" hawajavumilia.. by the time wanaamua kumuassasinate yule Bwana means they have decided to go into live war.
Wacha tusubiri majibu ya Iran.
Hahaha....!Nnachojua Iran aliwahi kututangazia kwamba anakombora moja analoweza kulirusha toka Tehran to Wshington,nasubiri a switch button on.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu weka walau wapi nimebishia Washington Times.Jamaa unabishana mpk na Washington Times uko vizuri sana.
Itabdi we uwe mzee wa uji wa ulezi na sio kahawa tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu kubwa Ni Communism Ideology...
Nikuulize hiyo communism status Yake ikoje mpaka sasa ....
Unasema wavietnam ilikuwa hawaogopi kufa, Ni kweli .. Matokeo Yake nchi yote ingechinjwa na kuwa mbuga ... Washukuru Mungu Busara za Nixon
Sent using Jamii Forums mobile app