Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Iran couldn’t protect their number one defense officer, yet they think they are up to the task to face the mighty power of the USA 😂😂😂😂
 
Nilichogundua wengi humu wanachangia kwa hisia na itikadi za Kidini ... Na watu huwa hawasomi zaidi ya kuwa rumor mongers na kuja na vitaarifa vya kwenye kahawa U.S. withdraws from Vietnam


View attachment 1313635

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo data ni western propaganda tu kujionyesha kuwa wao ndio superior, tatizo hamfuatilii mambo, recently imekuwa revealed kuwa US army huwa wanapika data ili kuonekana wako superior ila in reality wana suffer sana.

 
Mtu kasema tu tayari umehitimisha, huyo kamanda anakuwa overrated na washia kutokana na support aliyokuwa anawapa, siku nyingi alikuwa kwenye rada za USA kuanzia enzi za Bush ila hawakutaka kumrudisha kwa muumba wake, ila vitendo vyake vya kigaidi vilivyozidi mipaka basi Trump kaamua kumchomoa, Nasrallah asiposimama mguu sawa parapanda inahamia kwake.
Vipi US waliweza kumzuia Seleman kutoa Kolabo ili kufanikisha Sept 11 ndani ya ardhi ya US?

View attachment 1313677

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema Westerners wanapika data halafu umeniwekea link ya hao hao westerners nisome , unajielewa kweli wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na usisahau wanajeshi zaidi ya 58,000 wa US walikufa na at the end US haikufanikiwa kushinda kwa chochote ikaona ifyate mkia ikimbie kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mpaka Sasa unajua pale Iraq wameshakufa wanajeshi wangapi wa USA?? .. Wewe unaangalia walikufa wanajeshi wa USA , nikikuwekea Idadi ya wavietnam waliokufa si utashangaa wewe...


Kwa taarifa tu mwaka 1974 ( ndani ya mwaka mmoja tu ) wanajeshi 80,000 wa Vietnam waliuawa baada ya kukiuka vietimization agreement chini ya rais Nixon ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama Vice President amesema,unataka nisimuamini yeye nikuamini wewe mwenzangu wa hapa kwa kwa msuguri?

Wahindi wanasema Nehi nehi nehi
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mbona nimekwisha andika wa-vietcong walikua hawaogopi kufa kabisaa, cha msingi wao washinde ile vita FULL STOP.

Kwani US alifanikiwa kupata kilichompeleka huko Vietnam?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu acha kupoteza muda na wazee wa story za kahawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona nimekwisha andika wa-vietcong walikua hawaogopi kufa kabisaa, cha msingi wao washinde ile vita FULL STOP.

Kwani US alifanikiwa kupata kilichompeleka huko Vietnam?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu kubwa Ni Communism Ideology...

Nikuulize hiyo communism status Yake ikoje mpaka sasa ....


Unasema wavietnam ilikuwa hawaogopi kufa, Ni kweli .. Matokeo Yake nchi yote ingechinjwa na kuwa mbuga ... Washukuru Mungu Busara za Nixon

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kampuni ya google imshughulikie China!? Hivi kweli shule ulienda kusomea ujinga wewe eeh


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Assassination ya huyo jenerali ni Move ya Trump utasemaje wamarekani wamedecide kwenda vitani!? Sio bunge wala nini kiliosapoti mauaji ya huyo bwana. Hiyo move trump ameifanya ili asiwe impeached maana kwa sheria zao raisi hawezi kuwa impeached nchi ikiwa vitani.

Hata kuna raisi mmoja aliwahi kufanya tukio kama hili huko nyuma. Akiona wanataka kumuimpeach akakimbilia kufanya tukio km hili ili kujilinda.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah daah nimecheka sana aisee hahah, washukuru busara za nixon au usema wananchi wa US walichoka kupokea majeneza yenye miili ya ndg zao.

Wanajeshi wa Us 58,000 walikufa,150,000 walijeruhiwa mbaya kabisa na kama unavyojua US wanajeshi wake ni mchele mchele.Wananchi wake hawakuzoea kuona ndg zao wakiletwa hawajiwezi.

So communism status yake ilibadilishwa na vita vya Vietnam sio?

Inawezekana hata ukomunist pale North Korea 'umeisha' siku hizi sababu ya 'ushindi' wa US kule Korea,hahah.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…