Iran yapiga kiwanda cha Kusafisha Mafuta cha Israeli HAIFA

🇮🇷🇦🇪 Iran yatoa agizo la kuhamishwa kwa mji mzima wenye nguvu 200,000 wa Ras al-Khaimah, UAE.

"Kwa raia na wakaazi katika mji wa Ras al-Khaimah katika Umoja wa Falme za Kiarabu:

Ikizingatiwa kuwa eneo hili linatumika kwa shughuli zinazolenga visiwa vya Iran, mji wa Ras Al Khaimah umekuwa shabaha katika kipindi kijacho. Wakazi wote wanaombwa kuondoka jijini haraka iwezekanavyo," - Amri ya uhamishaji ya IRGC.
 
Umeona Al Jazeera wanadai Iranian imepiga Diego Garcia km 5000🤠🤠

Usawa unaowawezesha Iran kupiga TZ na Kenya. Kumbe Kenya ipo hatarini zaidi wasipokuwa makini kwasasa!!!

Kenya wawatimue tu Wanajesh wa USA na Uk. kisheria nisawa. Sababu Majesh yao yapo Vitani ✍️
 
AM

AMRI BY IRGC kibabe babe zaidi Ubabe!!! Jamaa awanaga kazi mbovu 🤠🤠🤠
 
AM

AMRI BY IRGC kibabe babe zaidi Ubabe!!! Jamaa awanaga kazi mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…