Iran yapiga kiwanda cha Kusafisha Mafuta cha Israeli HAIFA

Iran yapiga kiwanda cha Kusafisha Mafuta cha Israeli HAIFA

Ripoti na picha zilizothibitishwa zinakuja zikionyesha uharibifu mkubwa katika mji wa Bat Yam, Israel ulioko Kusini mwa Tel Aviv, kufuatia mashambulizi ya makombora. 131,000, wameshuhudia uharibifu mkubwa huku shabaha za kijeshi zikipigwa na Iran."

©Jr._johnpatrick


View: https://x.com/7signxx/status/2035265065276854482?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

MOTO wacha uwake wameutaka Wenyewe💥💥💥💥💥💥💥💥💥 Mashoga huu mwaka watakoma kuchechea cheche za 💥💥💥💥
 
BREAKING:

🇮🇷🇯🇵 Iran na Japan zakaribia makubaliano juu ya usafiri wa Hormuz

Iran imeanza mazungumzo binafsi na kila nchi kuhusu Mlango-Bahari wa Hormuz na kuna uwezekano itatoza ada kubwa.

Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema katika mahojiano na Kyodo News kwamba Iran inajiandaa kusindikiza meli za mafuta za Japan kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz.

Iwapo Iran itaanza kutoza karibu 10% kwa meli ya mafuta, kulingana na ripoti zingine, nchi hiyo itakusanya dola bilioni 800 kila mwaka.
 
Wamezoa kuwaonea makundi ya wanamgambo wa Hamas na Hezbollah. Hapa wameingia chaka lazima waombe poo hii vita ikiendelea miezi 4 Israel itakuwa Gaza.

View: https://x.com/jacksonhinklle/status/2035092556296421427?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

miezi mi4 mbali
ndani ya Week 2 au 3 Iran inatangazwa mshindi kivyovyote

Marekani kaanza kuomba eti tupishe EID 2DAY. washaanza kutepeta. Sikukuu yenu hiii😜😜✍️

Afghanistan na Pakistan wamesitisha kwasababu za msingi

Wananchi wanaitaka Sikukuu yao.
Baada ya mfungo wa mwezi mzima!!!

Waisrael washakwama wamezuiwa kupiga Nishati

sasa target za maana hakuna tena
kwasasa Iran talatibu anapiga kwenye mishono tu. !!!

Tayali Wananchi Wanaandamana kukataa Vita.✍️
 
Netanyahu ikiwa kweli yupo!!

basi hii ndio vita yake ya Mwisho
 
BREAKING:

🇮🇷🇯🇵 Iran na Japan zakaribia makubaliano juu ya usafiri wa Hormuz

Iran imeanza mazungumzo binafsi na kila nchi kuhusu Mlango-Bahari wa Hormuz na kuna uwezekano itatoza ada kubwa.

Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema katika mahojiano na Kyodo News kwamba Iran inajiandaa kusindikiza meli za mafuta za Japan kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz.

Iwapo Iran itaanza kutoza karibu 10% kwa meli ya mafuta, kulingana na ripoti zingine, nchi hiyo itakusanya dola bilioni 800 kila mwaka.

Ndio watakoma kumsikiliza Trump $Bilioni 800 tunajenga upya nchi nzima. Baada ya miaka 2 tunawapunguzia nusu yake..

apo sio wote watalipa !!!

nchi chache zile tu hazikuogopa domo la Trump kipindi cha katazo!! ndio watapita free !!!

kutesa kwa zamu😜😜😜😜😜😜😜
 
Back
Top Bottom