Iran yapiga kiwanda cha Kusafisha Mafuta cha Israeli HAIFA

MOTO wacha uwake wameutaka Wenyewe๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ Mashoga huu mwaka watakoma kuchechea cheche za ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
 
BREAKING:

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต Iran na Japan zakaribia makubaliano juu ya usafiri wa Hormuz

Iran imeanza mazungumzo binafsi na kila nchi kuhusu Mlango-Bahari wa Hormuz na kuna uwezekano itatoza ada kubwa.

Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema katika mahojiano na Kyodo News kwamba Iran inajiandaa kusindikiza meli za mafuta za Japan kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz.

Iwapo Iran itaanza kutoza karibu 10% kwa meli ya mafuta, kulingana na ripoti zingine, nchi hiyo itakusanya dola bilioni 800 kila mwaka.
 
Wamezoa kuwaonea makundi ya wanamgambo wa Hamas na Hezbollah. Hapa wameingia chaka lazima waombe poo hii vita ikiendelea miezi 4 Israel itakuwa Gaza.

View: https://x.com/jacksonhinklle/status/2035092556296421427?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
miezi mi4 mbali
ndani ya Week 2 au 3 Iran inatangazwa mshindi kivyovyote

Marekani kaanza kuomba eti tupishe EID 2DAY. washaanza kutepeta. Sikukuu yenu hiii๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œโœ๏ธ

Afghanistan na Pakistan wamesitisha kwasababu za msingi

Wananchi wanaitaka Sikukuu yao.
Baada ya mfungo wa mwezi mzima!!!

Waisrael washakwama wamezuiwa kupiga Nishati

sasa target za maana hakuna tena
kwasasa Iran talatibu anapiga kwenye mishono tu. !!!

Tayali Wananchi Wanaandamana kukataa Vita.โœ๏ธ
 
Netanyahu ikiwa kweli yupo!!

basi hii ndio vita yake ya Mwisho
 

View: https://x.com/rkmtimes/status/2035278775701962760?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Maafisa wakuu wa kijeshi wa Israeli waliuawa, maelezo zaidi yanasubiriwa.

Hatari ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ

kama ndio kweli wana w Mungu!!
basi uyo Mungu pia kakimbia watoto wake๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค 

sio kwa vishindo ivyo!!!

Pale kukosa aibu Mashoga. utasikia hakuna Kifo ila mtoto tu kapoteza kinyonyo chake ndio tunamtaftia kwenye kifusi๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ
 

Ndio watakoma kumsikiliza Trump $Bilioni 800 tunajenga upya nchi nzima. Baada ya miaka 2 tunawapunguzia nusu yake..

apo sio wote watalipa !!!

nchi chache zile tu hazikuogopa domo la Trump kipindi cha katazo!! ndio watapita free !!!

kutesa kwa zamu๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ