Je ...Kuhusu USA kushambulia vinu vya nyuklia...hakuna tamko lolote?Wanaukumbi.
Bunge la Iran limepitisha muswada wa kusimamisha ushirikiano na Shirika la Kimataifa la Kudhibiti Nguvu za Atomiki, IAEA. hatua iliyochukuliwa kufuatia vita kati ya Israel na Jamhuri hiyo ya kiislamu.
Hatua hiyo ambayo bado inahitaji kuidhinishwa na Baraza la Juu la usalama wa Taifa nchini humo, inajiri kufuatia vita vya Jamhuri hiyo ya kiislamu na Israel.
Israel ilianza kuishambulia Iran Juni 13 ikisema dhamira yake ni kuizuwia Tehran, kuendelea na mpango wake wa nyuklia. Israel imesema mpango huo ni hatari kwa usalama wake.
Spika wa bunge amenukuliwa akisema kuwa IAEA ilikataa hata kulaani shambulizi lililofanywa kwenye vinu vya Iran vya nyuklia
Bunge la Iran limepitisha muswada wa kusimamisha ushirikiano na Shirika la Kimataifa la Kudhibiti Nguvu za Atomiki, IAEA. hatua iliyochukuliwa kufuatia vita kat… Source: dw.com Iran yapitisha mswada wa kusimamisha ushirikiano na IAEA – DW – 25.06.2025
Walishasema wazi hamna madhara yeyote mzigo uliamishwa siku nyingi Israel na Marekani ndiyo wanapeana lawama.Je ...Kuhusu USA kushambulia vinu vya nyuklia...hakuna tamko lolote?
White House press secretary Karoline Leavitt issued a sharp rebuke Tuesday of a leaked Pentagon report that said the United States’ strikes on Iranian nuclear facilities over the weekend only set the country’s program back by a few months.>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Ali Khezrian, mwakilishi wa Tehran, aliishutumu IAEA kwa "ujasusi" na kusema shirika hilo lilihamisha habari za Irani kwa Israeli.>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Wanaukumbi.
Bunge la Iran limepitisha muswada wa kusimamisha ushirikiano na Shirika la Kimataifa la Kudhibiti Nguvu za Atomiki, IAEA. hatua iliyochukuliwa kufuatia vita kati ya Israel na Jamhuri hiyo ya kiislamu.
Spika wa Bunge Mohammad Bagher Ghalibaf hapo awali alitangaza kwamba mpango wa nyuklia wa Iran utafuatiliwa "kwa kasi zaidi."
Kura hiyo inaiondoa Iran katika mfumo wa uangalizi wa kimataifa huku ikiacha kujiondoa rasmi kwenye NPT.
Israel ilianza kuishambulia Iran Juni 13 ikisema dhamira yake ni kuizuwia Tehran, kuendelea na mpango wake wa nyuklia. Israel imesema mpango huo ni hatari kwa usalama wake.
Spika wa bunge amenukuliwa akisema kuwa IAEA ilikataa hata kulaani shambulizi lililofanywa kwenye vinu vya Iran vya nyuklia
SOURCE 👇🏽
Iran’s parliament voted on Wednesday to suspend all cooperation with the International Atomic Energy Agency (IAEA), effectively ending i ... https://share.google/xVeENSGyBKMwFgLXU
Huyu mnampamba tu ila hana madhara.Kiduku aliona mbali Sana,
Hakuna beberu WA kusogeza pua N.korea
Yanayopaswa kumiliki ni yale mauaji yanawaua watoto na bunduki, pindi wanapojaribu kwenda kuchukua vyakula vya misaada pale Gaza?Haya majitu hayapaswi kumiliki Nuclear hata kidogo
Wanaua watoto kama collateral damage, target ni wazazi wao wangekuwa Magaidi, Roughly jamii za Kiislamu za Mashariki ya kati ni hatari kwa utulivu na stability ya dunia. Wanapaswa wadhibitiwe.Kila nchi ina haki ya kumiliki silaha za nyukulia usiwe punguani hao wanaomiliki kazi yao kuuwa watoto na wanawqke wewe unaona ndiyo wana haki.
Wanaua watoto kama collateral damage, target ni wazazi wao wangekuwa Magaidi, Roughly jamii za Kiislamu za Mashariki ya kati ni hatari kwa utulivu na stability ya dunia. Wanapaswa wadhibitiwe.Yanayopaswa kumiliki ni yale mauaji yanawaua watoto na bunduki, pindi wanapojaribu kwenda kuchukua vyakula vya misaada pale Gaza?